chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kapaki basi, kaamua kuwa mlinzi zaidi ya mshambuliaji

    Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina yake. Ukitizama vizuri baada ya mkutano wa kwanza wa CHADEMA Mwanza, MATAGA ndilo kundi linaloonekana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imepoteza kabisa ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM. lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa mwamba. Rais Samia ukicheka na hawa watakukwamisha sana

    Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Mikutano ya Hadhara au Mikutano ya Wanachama wa CHADEMA? CHADEMA wamefeli wapi?

    Ukweli usiofichika mikutano ya CHADEMA imekosa mvuto. Watu walikuwa wachache sehemu zote walizofanya. Na ikageuka kuwa mikutano ya wanachadema. Haina tofauti na vikao vya ndani vya chama. CHADEMA inapaswa kujua sababu ya yote hayo ni nini, sikubaliani na wanaosema eti mwenyekiti Mbowe ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kutumia polisi sasa mnatumia nguvu kubwa JF bila kujijua mkiitangaza CHADEMA

    Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia. Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema. Basi tambua mnatangaza CHADEMA bila kujua yani mnatufurahisha CCM. Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za Dkt. Slaa tungekuwa tunajadili hoja nzito za CHADEMA badala ya kubishana

    Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

    Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya hadhara wakiwa na lengo kubwa la kueleza wapi serikali “imekwama” kukomboa wananchi na janga la ufukara...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea CHADEMA waibue ufisadi wa Hayati Magufuli kwenye mikutano yao

    Nilitegemea kwenye mkutano wa hadhara Mwanza na Musoma Chadema wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu wamekuwa wakihubiri mara kwa mara kwamba Magufuli amelifanyia ufisadi mkubwa sana taifa hili. Lakini hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inashindwa kuujaza uwanja wa shule ya msingi halafu wanamshambulia Hayati Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Mkapa! Nchi ngumu sana hii

    CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani. Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kumwelewa Mbowe au CHADEMA si kwa kila mtu

    Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza. Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi: Na bado chawa wa Mama wanakenua? Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake? Si kuwa kauli...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Musoma

    Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Musoma mjini. = = =
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kuungwa mkono jiungeni na Sukuma Gang

    Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao Sukuma Gang. Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
  16. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa CHADEMA

    CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao. Nimesema haya...
  17. JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kama vile wapo serious mjue, Lamadi to Bunda amsha amsha si mchezo

    Naona baada ya Mwanza SASA NI Simiyu to Mara, wananchi wanaonekana walikuwa na kiu Kali Sana. Tofauti na msafara wa Mhe. Rais hakuna mapokezi mengine yanayofanywa na wananchi Kwa wingi huu. Si Katibu Mkuu CCM wala Makamu Mwenyekiti, voluntary show up inaridhisha natumaini kwamba mama ameifungua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…