chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingia Jimbo la Nyasa

    Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo . Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya nyuma wakazi wake waliamini kwamba ukiondoka ccm unakufa , lakini baada ya Chadema kuendelea...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA wajirudi kuitambua TCD. Wamkubali Zitto

    Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini. Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

    Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF. Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
  7. JamiiForums Tanzania Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepoteza mwelekeo, msimamo, hamna sera, mmekuwa wababaishaji

    Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga? Anaandika Almaliki Mokiwa. Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama CHADEMA vikiwa vyama pinzani, na CCM kuwa chama tawala, CHADEMA imejitanabaisha kuwa chama kikuu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

    Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!! Mlale unono!
  10. JamiiForums Tanzania Tathmini ya robo ya kwanza ya Mwaka, CHADEMA yaongoza

    Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka, Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania, ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema wamewasaliti Watanzania

    Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
  12. JamiiForums Tanzania Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Mbowe aliondoa ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA kwa hila?

    Nimeona hii habari huko Twitter. Inasema kuwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CDM mwaka 2004. Wakati huo katiba ya chama ilikuwa imezungumza kuwa kutakuwa na ukomo wa miaka kumi kwa mwenyekiti. Mwaka 2006 yalifanyika mabadiliko ya katiba. Lakini suala la ukomo wa uongozi halikuzungumzwa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  15. JamiiForums Tanzania Picha: BAWACHA wakianandamana Mikumi

  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatamani maandamano ili waende na upepo sema ndio ivyo tena mkate umekutana na chai

    Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao. Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

    Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi? Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu. Britanicca
  18. JamiiForums Tanzania CCM wangekuwa CHADEMA wangeandamana!?

    CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama cha upinzani) je wao wangeandamana na hoja yao ingekuwa wanataka kuandamana kwa ajili ya nini...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaiogopa Umoja Party na hawawaogopi CHADEMA wala ACT Wazalendo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua hofu ya CCM iko kwa Umoja Party tu na wala siyo kwa Vyama vingine vya Upinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo Bado nafanya utafiti nijue Ndani ya UP kuna nini kinachotisha tofauti na Vyama vikongwe Mungu ni Mwema wakati wore!
  20. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya awasha moto Tanga. Ataka watu wajiunge CHADEMA ili kuondoa mifumo mibovu

    Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto. Tarehe 23 Februari 2023, Kambaya na wenzake walitangaza kujivua uanachama CUF kwa madai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…