chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la kwanza liliwapa raha sana mahasimu wa Chadema, sasa shangilieni na hilo

    johnthebaptist sherehekeeni na hili jukwaa la miti la pili. Mlidhani kuwa wataacha kushabulia kama nyuki kwa kejeli za jukwaa, NEVER, kazi moto moto!
  2. JamiiForums Tanzania Mnaomsikiliza Lissu kwenye wimbi la 255 CHADEMA je, anahimiza jamii na vijana kufanya kazi?

    Hello!! Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi. Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

    Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu. Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano. Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili Jaji Mutungi ameitisha kikao cha Makundi mbalimbali kujadili Katiba Mpya 26/5/2023, Sisi CHADEMA hatutaenda Hatuna Imani naye!

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji...
  5. JamiiForums Tanzania Abdudlquarim Malisa naye Ajitokeza Kumuomba Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA Msamaha

    Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2 Naye Mjumbe wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

    Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu. Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu gani kwa CHADEMA kukusanya ushahidi wa vinavyodaiwa ni vitendo vya kikatili vya awamu ya Tano na kesi ikafunguliwa?

    Habari JF, Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote. Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia? Je, wao nao pia wanahusika na hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe. Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Huo ndio Ukweli japo ni mchungu Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto" Jumatano iwe Njema kwako, amen!
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  12. JamiiForums Tanzania Oparesheni +255 yaingia Mkoa wa Katavi, leo ni zamu ya Mpanda Mjini

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kenyatta anaposimama na Odinga, CHADEMA mnayo ya kujifunza

    Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani. How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini? Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025, nitapendekeza Byakanwa avuliwe Ubalozi, hana sifa hiyo

    Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani Balozi ndio Taswira ya Nchi yetu kule Ugenini. Mtu kama Gellasius Byakanwa, mtu mwenye roho mbaya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

    Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo. Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji. Vyama vyote viwili vinashabiiana...
  16. JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  20. JamiiForums Tanzania Kigoma: Freeman Mbowe atikisa Kasulu Vijijini, elimu ya Katiba Mpya yaendelea kutolewa

    Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea. Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…