chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunataka kuona msimamo wenu kwa vitendo kuhusu kutoshiriki uchaguzi

    Moja ya sifa nzuri na thabiti ya kiongozi ni kusimamia anachokiamini hata kama msimamo huo unaweza kumdhuru binafsi au na taasisi anayoongoza. Msimamo wa CHADEMA ulioamuliwa na Kamati Kuu yake na kutangazia dunia hadharani kupitia kinywa cha Katibu Mkuu wake John Mnyika na Mwenyekiti Freeman...
  2. JamiiForums Tanzania Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA songeni mbele kuziba ombwe la uongozi Tanzania

    Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao. Nimegundua kuwa watanzania wa kada mbalimbali wanakosa viongozi wa kuwasikiliza. Sasa basi CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

    Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015. Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA msipochukua nchi 2025 - basi!

    Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi, 1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida. 2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa. 3. Mikataba mingi kusainiwa bila...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

    Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa tishio kwenye uchaguzi dhidi ya Chama Tawala CCM. Binafsi naona wafuatao kutoka CHADEMA bado...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA walitaka wajisifie kuwa na jengo zuri au Siasa na Demokrasia nzuri za kuikomboa Tanzania?

    Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika. CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

    Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA. Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Sasa Chadema mtuongoze vyema kipindi hiki. Watanzania tunahitaji mwongozo wenu tumevurugwa

    Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika. DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani. Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba huu usio na chembe ya uzalendo, kundi hili limeangalia maslahi yao binafsi na kuuza bandari zetu...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  14. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

    Friends and Enemies, Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa. Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…