chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Nay wa mitego kwa kuwapatia CHADEMA agenda

    Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA wa kupinga maendeleo kwa Watanzania umekwama tena Bukoba

    MKUTANO WA CHADEMA WA KUPINGA MAENDELEO KWA WATANZANIA UMEKWAMA TENA BUKOBA Leo BUKOBA Viongozi wakuu wa CHADEMA wapata AIBU Kubwa mara baada ya kufika uwanjani na kukuta kiwanja cheupe kama ilivyotokea Temeke Viwanja VYA BULIAGA Miaka ya Hivi Sasa Watanzania wanajua ukweli na ndio maana...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya nyomi CHADEMA (Bulyaga) VS CCM (Kirumba) sio poa wadau

    Siasa zetu na nyomi huwa haziachani. Wataalamu wa mambo wanadai chama kinachojaza nyomi kwenye mikutano yake ndio chenye uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi. Sasa hivi nyomi si la uchaguzi tena bali ni pro ubinafsishaji bandari (CCM) dhidi ya anti ubinafsishaji (CHADEMA). Siku tatu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    SIRI IMEVUJA Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji. Kamati kuu ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

    Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine. Mara nyingi wanamichezo...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Sheikh Mwaipopo, wananchi wengi walikuelewa na kususia Mkutano wa CHADEMA

    Friends and our enemies, Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za kutaka kuliingiza Taifa hili kwenye taharuki na chuki za kidini ikiwa ni pamoja na kuigombanisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA rekebisheni tatizo hili kwenye kipengele cha Dua/Sala za kufungua mikutano na kufunga

    Mikutano yenu huwa mnaianza kwa sala. Hilo ni jambo zuri sana. Maana mnamtanguliza Mwenyezi Mungu mbele. Lakini wakati mkianza kwa sala, Wale ambao huwa mnawaita kufanya sala kwa niaba ya Wakiristo huwa ni watu ambao kwa namna moja huwa ni watu wenye authority katika taasisi zao za imani...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnasumbuliwa na ugonjwa wa akili unaitwa flight idea; hamtulii na jambo moja kwanini?

    VIJANA WA CHADEMA AMUENI TUMALIZANE NA JAMBO MOJA KWANZA NDIO TUHAMIE LA PILI Na Thadei Ole Mushi Kwa miezi sita vijana wa Chadema wamebeba agenda tatu ambazo hawazifikishi mwisho. Walianza na katiba mpya wakaacha wakaelekea uelekeo wa Dubai kwenye hoja ya Bandari naona toka juzi jioni...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

    Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo. Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM...
  11. JamiiForums Tanzania BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

    Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania. Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  14. JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

    Friends and Enemies. Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe. Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
  17. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
  18. JamiiForums Tanzania Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais. Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  19. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu. 4. Wengine...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa

    Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu. Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…