Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho.
Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
Hamjambo!
Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu.
Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili;
1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku.
Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.
Chanzo...
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Kesi ya madai dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho inatajwa leo, Agosti 18, 2025, katika Mahakama Kuu.
Shauri hilo Na. 8323/2025) linahusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambapo baadhi viongozi wa CHADEMA walizuiwa...
Mahojiano yaliyofanywa na Jambo TV na Heche, kwa kweli majibu aliyoyatoa Heche kwa kila swali yalikuwa ya kiwango cha juu hasa. Huko CCM huwezi kumpata kiongozi wa namna hiyo.
Heche anasema udikteta wa Samia ni wa kiwango ambacho hakijaaahi kushuhudiwa, japo hapo mwanzo aliwadanganya.
Heche...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika...
Licha ya kuwa Mimi ni mwanachama hai na kindakindaki wa CHADEMA, ila siungi mkono na nalaani vikali barua yetu yakuishitaki Yanga sc huko Fifa!
Nasema kwa hili la Yanga sc ,mmepuyanga , Yanga inaviongozi ,wanachama na mashabiki. Hayo yaliyofanywa yalifanywa na raisi wetu Eng.Hersi kwa utashi...
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,
Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho.
MC Mwingira alifariki dunia katika ajali ya basi la SAMA Luxury lililokuwa likisafiri kutoka Songea kuelekea Dar es...
Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu?
My friends, ladies and gentleman,
Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
15 Agosti 2025
Kamati ya Maadili ya FIFA
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
FIFA-Strasse 20
S.L.P. 8044
Zurich, Uswisi
KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB KWA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA VYAMA – TANZANIA
Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya FIFA...
Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary Kirigini amejiunga na chama cha ACT Wazalendo.
Kirigini amejiunga na Chama hicho na kutangazwa mbele...
Wengi wameshajulikana na wengi wao wameshahamia CHAUMMA. Tumeshapata tetesi ni wasaliti na ndio hao walirekodi hiyo clip na kuisambaza.
Lakini swali la msingi tujiulize kama kukinukisha ilikuwa ni kutoshiriki uchaguzi na kuitisha maandamano ya amani yasiyo na kikomo?
Mbona kama shujaa anateswa...