chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

    Clip speaks for itself
  2. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi. Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Umaskini wa Watanzania ni wa kutengenezwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini yanayozalishwa nchini, badala yake yanasafirishwa Madini ghafi nje ya nchi na kupeleka ajira za Watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, hii ni hali ya mahudhurio ya wafuasi wa CHADEMA Kahama?

  6. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

    Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
  8. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa na Polisi, Mungu awape Moyo wa Uvumilivu. Hii CHADEMA ya Kahama itawatoa roho🤣🤣

    Polisi na Msajili wa vyama vya siasa wanapata kazi ngumu kudhibiti CHADEMA. Watamuambia nini Mzanzibari anayewatuma kudhibiti CHADEMA? Nawaelewa maumivu wanayopitia. Moja haikai mbili haikai. Wamebaki kuwapa hela content creators waseme ni picha na Video za AI. Mungu awape moyo wa Uvumilivu...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Hakuna Mwanaume au Mwanamke akiwemo Mama Samia anayeweza kuifuta CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA akiwa Kahama leo.
  10. JamiiForums Tanzania Kahama: CHADEMA yaunguruma, Moto wa Katiba mpya wasambaa kila mahali, Maelfu ya Wananchi Wafurika, viwanja vyazidiwa

    Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea uhondo Usiondoke JF https://www.youtube.com/watch?v=B1Ygb_BQNMc
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waonywe kwa tabia ya kuwatukana na kuwadhalilisha Askari wetu katika mikutano yao ya hadhara

    Ndugu zangu watanzania, Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao kila mmoja wetu anatambua kazi kubwa wanayoifanya usiku na mchana kuwalinda watanzania na mali zao...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na chama cha CHADEMA hawawezi kukwepa ni chanjo cha VURUGU nchini

    Kama ni hatua Kali zichukuliwe kwa hawa viongozi wa chadema wamekuwa wakitoa kauli ambazo zimekosa uzalendo ambazo ni kichocheo cha VURUGU. Hata mwaka Jana wahusika wakuu ni viongozi wa chadema Tunaomba kama Taifa tuwachukulie hatua Kali ikiwa ni pamoja na kukifutia usajili chama cha chadema
  13. JamiiForums Tanzania Sipendezwi sana na mashambulizi ya matusi kutoka Kwa viongozi wa Chadema kwenda kwa police

    Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo, Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1 Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police Kuwaita masikini, kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema na Wajibu wa Kuheshimu Amani na Sheria

    Watanzania wengi tunaendelea kuamini kuwa siasa za amani mshikamano na kuheshimu sheria ndizo msingi wa ustawi wa taifa letu. Ndiyo maana kumekuwa na wito mkubwa kwa vyama vya siasa hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kuwa shughuli zao za kisiasa hazigeuki chanzo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema Yapandisha Bendera Kituo cha Polisi

    Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi. Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA nilishwaambia, palipo hazina ya mtu ndio moyo wake ulipo. Kila mkutano wa chama makapu yapitishwe, watu wachangie pesa

    Nyinyi wenyewe mliona , baada ya kuanza Kuomba Watanzania wachangie Chama kwa buku buku tu, mliona, mliona Kila Wilaya mlopita Wananchi walishindana kushinda Wilaya nyingine. Matokeo yake ilileta Umoja na Mshikamano Mkubwa sana. Naaaaa sote ni Mashahidi, Oktoba 29 ikadhihirisha Hasira za...
  18. JamiiForums Tanzania Nilichokishuhudia leo Katoro naanza kupata imani hii ni CHADEMA iliyojitoa mhanga kutetea maslahi ya Watanzania

    Naendesha mkweche wangu wa bei rahisi na huwa hauli mafuta maana ni Suzuki Jimmy ya kizamani. Natoka Katoro naenda zangu Igunga. Leo zilikuwa zinashushwa nondo za uhakika za kudai maslahi ya umma na wala sio kuendekeza njaa. Hoja kubwq ni kupata katiba mpya ambayo itatetea maslahi ya umma ...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA, Heche na Red Brigade: Vitisho Katoro

    ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao. Inaelezwa kuwa asubuhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…