chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ikumbukwe: MBOWE ndio mpangaji wa vurugu zilizomuondoa Msigwa CHADEMA. Mbowe alitaka pia awafute akina Lissu, Heche!

    Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako. Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi . Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI. Karibu...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  3. JamiiForums Tanzania Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu. Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

    Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..? Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya...
  5. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

    Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM wamekataa tamaa ya kushindana katika majukwa ya kisiasa na CHADEMA. Wanaona hawana tena cha kupoteza hivyo liwalo na liwe

    Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu. Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kuruhusiwa kufanya siasa, kuna kundi limeibuka TikTok linatukana viongozi. Vyombo vya ulinzi viwafundishe adabu

    Naomba kusiwe na lelemama kwa mtu yyte anayetukana viongozi mitandaoni, hii tabia imeibuka baada ya chadema kuruhusiwa waanze kufanya shughuli za kisiasa. Tusicheke na hawa vibaka wa chadema wanaotukana viongozi wetu mitandaoni. Mtoto mwenye malezi duni lazima anyooshwe na dunia
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye CHADEMA yaanza kuwapandisha Majukwaani Waathirika wa Mauaji ya Oktoba 29 !!.

    Sasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV
  10. JamiiForums Tanzania Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

    Hili ni kokoro linasomba yeyote yule. Maisha ya Ajabu sana. Leo hii Selasini aliyekaribishwa na Mbatia NCCR alimtimua Mbatia aaliyemkaribisha baada ya kutumiwa na TISS. Huyu pia alitumika kudhoofisha NCCR ya akina Mabere / Mrema miaka ya 1990s Selasini ni bingwa wa siasa za majungu, unafiki na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunaomba kwenye mikutano yenu mtupigie nyimbo zinazohamasisha ukombozi ili tupandishe morali ya kuikomboa nchi yetu

    Viongozi wangu wa Chadema tunaomba ikiwezekana kwenye mikutano mtuwekee nyimbo za kuhamasisha ukombozi wa nchi yetu. Nyimbo zinahamasisha sana sana. Kumbuka Afrika Kusini pamoja na kuwaua watu weusi lakini nyimbo za ukombozi zilipokuwa zinapigwa watu walihamasika sana. Lazima tuikomboe nchi yetu
  12. JamiiForums Tanzania Anae lengwa kuumizwa zaidi kwenye vita inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa ni Tundu Lissu au Chadema kama taasisi?

    Maana mivutano ni mkali sana ndani ya Chadema taifa kwasasa baina ya wanaotaka Lissu atoke korokoroni dhidi ya wale wanaotaka Lissu aendelee kusota korokoroni. Je, unadhani vita hii inalenga kumuadhibu lisu kisaikolojia akiwa korokoroni au kuidhoofisha chadema kama taasisi?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  13. JamiiForums Tanzania Wanaoihujumu CHADEMA ni wale wa upande wa Lema, Sugu na Heche au ni wale wa upande wa Mnyika, Amani na Boniyai?

    Kwasababu lazima tueleze ukweli kwamba ni wazi kuna vita vya chini kwa chini ndani ya chadema na kumeibuka makundi kinzani ambayo yana mitazamo tofauti hususani dhidi ya maridhiano na mchakato wa kuelekea katiba mpya. Je, wewe mwanachadema, upo kwenye kundi la wale wanaopendelea pawepo na...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya kufeli kwa Vita yenu dhidi ya Tume ya Jaji Chande, Mmeamua sasa kuja na Maigizo yenu ya kutekana

    Friends and Our Enemies, Tulishawaeleza Chadema na wana harakati uchwara ambao walishiriki kwa kiasi kikubwa kuhamasisha fujo na vurugu kabla na baada ya uchaguzi mkuu ya kwamba hawatoboi. Pamoja na kwamba chadema walipata nguvu kubwa kutoka kwa baadhi ya makanisa na wanaharakati uchwara ndani...
  15. JamiiForums Tanzania Huenda kuna vita ya kutwaa madaraka ya kitaifa kimapinduzi ndani ya CHADEMA

    Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mkuu mstaff Dr. Slaa kilipotelea wapi? Kama siyo hicho kinachoteka watu mpaka sasa

    Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa? Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
  17. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iimarishe mikakati ya siasa. Tunawapa wauaji sababu ndogo za kutumaliza. Matamko na press zimeshindwa ata kupunguza utekaji

    Tumeruhusu kutekwa, kisha matamko. Matamko hayajapunguza watu kuuawa. Kama tutaendelea na vimatamko wanachama wetu wote wenye maono watakwisha. Tutaua manabii wetu wote. Viongozi naona mko salama kiasi. Lkn wanachama chini yenu wanaishaa. Tukibadili tu mbinu mabadiliko ni ndani ya miezi mitatu...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wakinielewa kama Mange Kimambi anavyonielewa, CCM itachukiwa Kuanzia ngazi ya Familia Hadi Taifa, kuanzia Kijijini Hadi Mijini

    Nilimuonya LEMA na wengineo kua Waache Siasa za kuihalalisha Serikali ya CCM, Nikawashauri hapa https://www.jamiiforums.com/threads/mikutano-ya-chadema-ijikite-kuzungumzia-mo29-lissu-utekaji-na-mauaji-yanayoendelea-ijikite-kuwatia-wananchi-huzuni-na-hasira-lema-shituka.2436248/ Hapa Lengo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Golugwa: Nilimpigia simu Mafwele akaniambia, Djumbe (Msaidizi wa Lissu) yuko hapo amefungwa pingu! Nikamuuliza umejuaje amefungwa pingu?

    Wakuu, Alichokisema Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Amani Golugwa leo wakati akizungumza kuhusu tukio la jaribio la utekaji la Msaidizi wa Utekaji David Djumbe: "Wakati ninaendelea na mazungumzo nao, nikampigia Afande ZCO, Afande Mafwele, ambaye nilimtafuta usiku kucha nilikuwa simpati. Nikampata...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ofisi za CHADEMA Makao Makuu zimezingirwa na Polisi muda huu

    Huu hapa chini ndio ujumbe alioutoa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X: Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka. Ikumbukwe asubuhi hii chama kilikuwa kinatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari. Naibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…