Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Polisi wamekuja na mkakati mpya wa ajabu na wa kujivua nguo kuonesha kushindwa kwao kufanya jukumu lao la kikatiba na kisheria la KULINDA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.
Sasa wanatafuta namna ya kutoka ktk aibu na fedheha waliyojibebesha wao wenyewe kwa kukubali kurubuniwa kwa kununuliwa na...
Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya...
Polisi wametoa taarifa leo walizoita za uhakika kwamba wamepata taarifa Viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya zoom na kuhamasisha Wafuasi wetu kwenda Ofisi mbalimbali za Serikali na kuhamasisha Vijana kwenda Vituo vya Polisi na wakasema atakayekwenda kwenye Vituo vya Polisi...
Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la kizushi na chuki dhidi ya CHADEMA na viongozi wake na kuwa ni mkakati wa makusudi wa Polisi wa...
Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu.
Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri...
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA...
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.
Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda...
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga.
Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani.
bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
“Kwenye suala la Ngorongoro, ilitakiwa twende huko kesho Ijumaa kwenye Mkutano, tuliomba mikutano mitatu, Makalla (Mwenezi wa CCM Taifa) alivyoona akatoa ratiba ya mkutano, nikamwambia Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini kuwa Makalla ameitoa hiyo ratiba makusudi, hawa wana mpango wa kutunyima...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge.
Huwezi kuwa na bunge ambalo...
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.
Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli.
Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote.
Mtumishi huyo wa Mungu...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni.
Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
Wakuu,
Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes:
CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.