chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

    Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few! Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nilipokuwa CHADEMA nilikuwa Mjinga

    Mwanachama mpya CCM akitokea Upinzani, Mchungaji Peter Msigwa, amesema wakati alipokuwa CHADEMA hakuwa na ufahamu kwamba Mchakato wa Katiba Mpya ulikuwa unakwamishwa na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA lakini amelijua hilo baada ya kujiunga na CCM. Alipoulziwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Medani...
  4. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA KAZENI HAPO HAPO MSIRUDI NYUMA KUWATEKA NI NJIA YA KUWATOA KWENYE RELI

    Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii. Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti vyombo vya dola hasa polisi, leo kila kona mumewabana. Kwahyo ombi langu msilegeze kazeni hapo hapo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnyijka watangazieni watu hali ya kada wenu mzee Kibao

    Ndugu Mnyika. Nakusalimu Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao. Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake taarifa zinazotoka nyumbani kwa mzee Kibao siyo nzuri. Hebu sasa njoo hadharani uwatangazie wana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akizungumza na wanahabari mchana wa siku ya Jumamosi Septemba 7, 2024 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam amesema kuwa... “Kwa aina ya bunduki walizokuwa nazo hao watu waliokuja kumchukua (Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  11. J

    JamiiForums Tanzania Mimi ni CCM lakini nakiri CHADEMA walitumia Nguvu ya ziada kumnadi Mchungaji Msigwa Ubunge 2010 na 2015 Katikati ya Uzawa!

    Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010 Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema afadhali wampe Yeye kwa Heshima tu ya Chadema kumpokea Lowassa Mchungaji Msigwa nadhani umenielewa sana...
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja kwa familia ya Mzee Lowassa kuwashitaki wanasiasa hawa wa CHADEMA?

    Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana. Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA. nadhani kinachofanywa na Mwenyekiti ni kutokomaa kisiasa Je na familia ya...
  13. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

    Friends and Enemies, Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv. Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira. Kwa Mfano anasema,mbowe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

    1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation 2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake 3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go! ===== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 viti maalum CHADEMA wanasubiri kulipwa 400m pensheni?

    1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7. 2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ni dhahiri Boniface Jacob atashidwa vibaya sana kwa fedheha uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Pwani

    Dalili si nzuri kabisa kwa upande wa huyu muungwana tena zimejidhihirisha wazi mapema kweli, ana kibaru kigumu na mtihani mzito sana kurlekea uchaguzi huo muhimu wa kanda ya Pwani. Kiufupi kimbe jamaa hakubaliki wala hatakiwi bana pwani. Ili walau kukwepa fedheha atakayokumbana nayo ni...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob: Hata Nikishindwa Uchaguzi sitoenda CCM na kubwatuka bwatuka kama Mbwa

    Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee. Toa Maoni yako --- Kwa sapoti hii na dalili hii...
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashangaa endapo CHADEMA watashiriki chaguzi zijazo

    Katiba Ile Ile, tume Ile Ile, wakurugenzi wale wale wa 2020, mnategemea miujiza?
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob anawazidi viongozi waandamizi wa CCM ushawishi na kukubalika: Maandamano yake yanazidi mapokezi ya CPA Makalla

    Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni. Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku. Maandamano...
  20. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa CHADEMA kuungana na ACT Wazalendo!

    Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%. Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni...
Back
Top Bottom