chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo atoa msimamo mkali sakata la Chadema Mbeya

    Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

    Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo. CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

    Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia. Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo? Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Kama kwenye chaguzi za ndani ya vyama Rushwa ilitawala itakuwaje kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu?

    Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X Kwenu CHADEMA 😄😄🔥 --- Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika: Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni sawa na transfoma pozo, hutumika na CCM kuupoza Upinzani unapokuwa na nguvu kama enzi za UKAWA

    Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba. Hata wakati wa Bunge la Katiba Mpya lile vuguvugu la Upinzani na kukubalika kwa Prof Lipumba, Mchungaji Mtikila na Dr Slaa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM acheni kujiaibisha, yaani kabisa mmeamua kumshambulia Chief Odemba wakati Watanzania wanajua uozo wenu!

    Wakuu salam, CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni vema CHADEMA wasishupaze shingo itavunjika

    Wasalaam, Inafahamika wazi nchi hii hakuna vyama vya upinzani zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni matawi ya CCM na vimeanzishishwa ili kudhoofisha nguvu za CHADEMA. Sasa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa baadae mwaka huu ni...
  9. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo kuiingiza tena mkenge CHADEMA katika chaguzi 2024 na 2025?

    Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye chaguzi zijazo kutokana na matamko ya viongozi wa CCM kuhusu chaguzi zilizopita. Hivi karibuni...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatma ya Soka na wenzake waliotekwa ni shimo kwa CHADEMA?

    Machache lakini mazito Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi) Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Richard Ligoha: Zamani nikiwa mjinga nilikuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, sasa nimehamia CCM

    "Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

    Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani. Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba Tangazo lake hili hapa
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania "Viongozi wa Juu wa CHADEMA Watoa Maoni Mseto Kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Hatua za Kuimarisha Demokrasia Nchini"

    Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  15. chakii

    JamiiForums Tanzania Uzushi unaolenga kuwarejesha gerezani viongozi wa CHADEMA

    Habari wanaJukwaa Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
  16. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

    CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo* _Tumeona nchi Kama Marekani...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  19. Ronal Reagan

    JamiiForums Tanzania Siri za Wazi: CHADEMA sio perfect kama vile CCM isivyo perfect

    Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi yetu, licha ya changamoto nyingi ambazo imepitia. UTANGULIZI Kwanza kabisa nitambue uwepo wa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
Back
Top Bottom