chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: CHADEMA ilistahili kupata Wabunge 18 wa Viti Maalum, sasa huyo wa 19 ametoka wapi?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19 Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rais Samia, Kiongozi wetu Deus Soka Ametekwa, Hajulikani Alipo kwa Wiki Mbili

    Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X Ahsanteni Sana 🐼 ====== Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walinifuata kunipoza niache kusemasema

    https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela ili nisiwe na msimamo Fulani, safari hii nimefuatwa ndio maana imebidi nikemee hadharani.” Bila...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa Ili Kudhibiti Upinzani ndio sababu CCM haijasajiliwa na Msajili hivyo hawezi kuwafanya lolote

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA, CUF nao kuchapisha fomu moja tu ya mgombea Urais 2025

    Unadhani falsafa hii inamaanisha nini? Mathalani, inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu. lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa Hata hivyo Lisu amesema pamoja na ubora wake Chadema Siyo Chama Cha Malaika Soma Pia: Makalla: Lissu ni...
  7. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania. Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwana CHADEMA anayeitamani Tanganyika kama Othman Masoud wa ACT wazalendo anavyoitamani Zanzibar yenye Mamlaka kamili?

    Hadi sasa kumbukumbu zinaonesha ni Mchungaji Mtikila peke yake ndio aliipigania Tanganyika kutoka moyoni Natamani sana Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud angekuwa ni Mtanganyika yule Mwamba hana Bei mgongoni Na kiukweli watakaoamua Tanganyika irejee ama la ni Wazanzibar...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa CHADEMA?

    kulikoni hasa, hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake, basi haupiti muda mrefu, lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ? kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano...
  12. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana uhakika wa Kura Milioni 3 za wamasai wenye sifa za kupiga kura

    CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya. Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

    CHADEMA Kanda ya Kaskazini Leo inazindua Operesheni KUCHA yaani Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi Wote mnakaribishwa 😂😂
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

    Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini. Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro. Soma Pia: Rais Samia...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chadema haina kabisa uwezo wa kupambana na rushwa iliyokithiri miongoni mwa viongozi wake waandamizi

    Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga mbele ndani ya Chadema na mahali pengine popote. Rushwa. Alilizungumzia jambo hili la rushwa nje ya...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Haya ndio huwa yanafanyika hata wakati wa uchaguzi ili kupoteza watu kwenye jambo husika, tujifunze kuhakiki taarifa

    Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi. Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  19. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe hata nyie chama chenu kina kikosi cha kutoa mafunzo kwa vijana ili wafanye vurugu wakati wa uchaguzi mbona husemi?

    We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
  20. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

    Hellow JF. Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA. Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda...
Back
Top Bottom