Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha biasness na kwamba uhalifu wowote dhidi ya CHADEMA polisi hawatashughulika nao.
Itakuwa ni aibu kwa...
Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto wiki chache zimepita ameshaingia mkataba tena na German ambao tuna uhusiano nao wa kupeleka...
Wanaukumbi.
Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania?
2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?
3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?
4. Mbowe...
Wasalaam ndugu zangu,
Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
Ni dhahiri ya kwamba chama cha makamnda kimeshindwa kabisa kuwa na mikakati yenye kuvitia watanzania wa rika mbali mbali .
Kushindwa kuwa na mikatati thabiti kunasababishwa na yafuatayo:
1:Viongozi waandamizi wa hiki chama hawana elimu dunia inayoelewaka na nitor mifano michache,Sugu...
Wanabodi,
Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo baadhi ya askari wa jeshi la polisi lilimkataza kupiga simu kuwataarifu watu wake kuwa amekamatwa...
Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa.
Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao.
Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
Wakuu,
Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa.
Kwamba...
Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania.
Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA
Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa sana..!
Fursa fursana .. Kufa kufaana...! Kwa kauli ile ya kula kwa urefu wa kamba ..maandamano haya...
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.