chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wako njia panda na wamepoteza mwelekeo

  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

    Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  11. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Umachiaveli

    Niccolò Machiavelli, mwanafalsafa wa karne ya 16, anafahamika kwa maoni yake kuhusu siasa na uongozi, yaliyoelezwa kwa kina katika kitabu chake maarufu, The Prince (Mfalme). Katika kazi yake hii, Machiavelli anashikilia kuwa Pamoja na mambo mengine anayetafuta madaraka lengo lake ni kuyashika...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Wamekata tamaa ya Siasa na kuna uwezekano wa kushindwa kushiriki Uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa visingizio Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni dhahiri na wazi kabisa kuwa kwa sasa CHADEMA imefika hatua imekata tamaa kabisa ya siasa hapa Nchini,imepoteza morali,hamasa,nguvu iliyokuwa nayo miaka Kadhaa iliyopita. Kwa sasa CHADEMA imepoteza na haina kabisa ushawishi kwa watanzania.haina mvuto wala nguvu ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa

    'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

    Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

    Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
  18. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inatoa unabii wa siku zijazo za uongozi wa Tanzania ikionesha ni wapi watakapokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA wakilinganishwa na wale wa CCM

    Hii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.
Back
Top Bottom