chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

    Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa? Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kufutiwa kesi na kuitwa Ikulu lengo wasinyimwe misaada na mikopo. Ikitokea, wekeni mashariti ndio muitike wito wa aina hiyo.

    Wakiongozwa na Marekani, wafahili wanaweza kukata ama kupunguza mikopo na misaada kwa Tanzania kutokana na ujinga unaoendelea hivi sasa.Hivyo, ili kuwaridhisha wafadhili, hayo makesi ya mchongo yatafutwa na mnaweza kuitwa Ikulu. Pia, katika kujisafisha, Mama atatamani sana apige picha na...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini makada hawa wa CHADEMA hatujawaona kwenye maandamano? Shida iko wapi? Au wameogopa?

    Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada. Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa. Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter? Yuko wapi Sugu? Yuko wapi John Mnyika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muandamanaji wa Kike adakwa na Polisi Magomeni akifanya maombi

    Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na kuuawa, akiwemo...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia yaingia katika mtego wa Chadema kuwatumia Polisi kuandamana kwa niaba yao

    Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wakili wa CHADEMA: Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta

    Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. "Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini. Wananchi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

    Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
  13. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

    Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au? Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

    Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao. Haitakuwa HAKI...
  16. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema hayapaswi kuungwa mkono

    Na Mwandishi Wetu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kina mpango wa kufanya maandamano yasiyo halali Jijini Dar es salaam katika siku za karibuni ambapo kulingana na maelezo ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, maandamano hayo ni kwa ajili ya kupinga vitendo vya utekaji nyara na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RAS DSM Dr Nguvila atangaza tarehe 23/09/2024 kuwa ni Siku ya Amani Duniani

    Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani Source: Jambo TV Ahsanteni Sana 😂🌹
  18. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

    CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

  20. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA akili kubwa: Maandamano waliyofanyishwa Polisi tangu juzi kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Pwani kuja mpaka Dar ni makubwa na ujumbe umefika

    Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo; 1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari 2. Maandamano ya wananchi mtaani 3. Kuwafanya viongozi wa serikali wahahe huku na huko 4. Kufanya vyombo vya dola viandamane bila...
Back
Top Bottom