chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia usiruhusu Chadema wapigwe, toa Amri walindwe!

    GTs, Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Bodaboda na Bajaji: Hatutashiriki Maandamano ya CHADEMA

    Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  4. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu pamoja na taasisi zako za haki: Tafadhali, waache Chadema wafanye maandamano yao. Wape ulinzi, kwani wewe ni kiongozi wa wote

    Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi. Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane. -Wape ulinzi, -Hakuna kitakacho haribika -utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R -utapunguza malumbano ya kulilia haki. Baada ya Maandamano: Baaada ya Maandamano, utajitokeza na...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli Mungu hana Demokrasia? Mbona alisema "Tufanye mtu kwa mfano wetu"

    Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha akuhusu walaghai wanaotumia neno la Mungu kurubuni wananchi Akizungumza na maelfu ya Wananchi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Matokeo yanayotarajiwa kwa CHADEMA kufuatia maandamano ya Jumatatu 23 Septemba 2024.

    Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote: 1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA wamesema watafanya vurugu? Si wamesema wataandamana kwa amani ili dunia ijue watu wanatekwa na kupotezwa?

    Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Polisi wakisindikiza maandamano ya CHADEMA badala ya kuyaingilia

    Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi.. Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinawafanya CHADEMA waanze kuchafua nchi kabla ya uchaguzi

  16. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawawaaminii polisi halafu wanawaomba polisi kulinda maandamano yao?

  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kichaka cha kuita wachunguzi wa nje, CHADEMA haiwezi kujitoa kwenye sakata la Mauaji wa kibao .

    Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana. Mnyika huyohuyo...
  18. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Makosa waliyofanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu

    Tambua makosa ambayo walifanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu. Kwanza kitendo cha Sativa kutekwa na kunusurika na pia baadaye Sativa kumtambua Mafwele miongoni mwa watekaji, [kosa/ushauri]*ilibidi CHADEMA kupitia wanasheria wake na baadhi ya wanaharakati...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chadema watoa njia za maandamano zitakazotumika Jumatatu

    👇
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na haja ya serikali kutumia nguvu kubwa kupambana na Chadema?

    Haya maandamano ya tar 23 yatayofanywa na Chadema yatakuwa na impact kubwa kiasi cha kuogofya serikali?.
Back
Top Bottom