chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo wamevamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa wanawapeleka Polisi. Lakini hadi asubuhi hii hawapo katika vituo vya polisi na hivyo hadi sasa hatujui...
  2. Bila CHADEMA nchi haitawaliki

    Chadema ndicho chama kilikuwa kinatuliza hali ya hewa .. Upinzani wa sasa ndo Upinzani wa GEn Z
  3. Sio kweli kwamba Mh Mbowe alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya Maslahi

    Baadhi ya Watanzania walifuata mihemko na tabia ya kumwekea Mh Mbowe maneno ya mdomoni kwamba alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya maslahi yake binafsi pasipokufahamu ukweli Mh Mbowe sio wa kawaida kama mnavyodhani hasa linapokuja swala la kipato Mh Mbowe anamiliki mawe ya kutosha...
  4. PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  5. PostGE2025 Samia anasema wapiga kura wa CHADEMA walimpigia yeye

    Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
  6. SI KWELI Hii ni taarifa ya CHADEMA kulaani maandamano ya Desemba 09

  7. R

    PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
  8. Hayati Magufuli aliwashinga nguvu CHADEMA kwa wanancho sababu alidhibiti ufisadi na kusimamia rasilimali za umma

    Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi. Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
  9. PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  10. Vijana acheni kujificha kwenye hoja za CHADEMA, nyoosheni maelezo kuwa life kwenu limekuwa gumu Rais aangalie namna

    Tangu nchi hii ipate uhuru Rais Samia ni Rais bora sana. Rais mwenye utu mkuu. Vijana mliookosa ramani kuanzia 2015-2021 kipindi cha Magufuli ni kama vile zama zenu zimepita. Kila jambo na wakati wake. Yule jamaa aliwavuruga mkakosa ajira, vibiashara vikagoma . Lakini mlivyokuwa malofa mnamwona...
  11. Risasi za MO29 hazikuchagua ccm au chadema mwislamu au mkristo aliyepiga kura na asiyepiga kura

    Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
  12. PostGE2025 CHADEMA: Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu Gereza la Ukonga

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga. Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
  13. R

    Watawala wetu, Sililizeni Busara za Mwenyekiti wa Chadema Sumbawanga

    Msikilize. Sina sababu ya kuongeza maelezo. Kwa nia njema ya uzalendo
  14. PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga: Chaguo ni moja tu, ni Watawala kukubali kubadilika, Watu wamechoka wanahitaji mabadiliko

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga. "Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
  15. R

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  16. C

    CCM nadhani sasa ile hoja yenu ya CHAMA KWANZA TAIFA BAADAYE mnaiona inavyowatafuna, msilalamike chini chini maana mliaminishana mnaikomoa CHADEMA

    Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
  17. IGP Wambura usijitoe Ufaham, Yaan RASIMALI zibagazwe, Vyama Siasa (CHADEMA) Muwaumize Kila siku, alafu ulopoke "Watanzania msikubali kugawanyika"

    Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali... LISSU...
  18. PostGE2025 Vijana wa CHADEMA watafuta hifadhi nchini Kenya kuhofia usalama nchini Tanzania

    Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha...
  19. PostGE2025 Kuhusu kiongozi wa CHADEMA kudai atakinukisha suala lipo Mahakamani. Je, tume ya uchunguzi inachuguzaje suala hili?

    Tutakinukisha. Hii kauli ndio msingi wa kesi ya uhaini inayomhusu Lissu. Mahakama ni chombo huru. Tume itapoingilia suala hili na kuanza kuchunguza ni kuingilia kesi iliyopo mahakamani. Kama ndio hivyo Lissu aachiwe huru alafu Tume ichunguze alivyokinukisha. My take, mpaka sasa hivi Lissu...
  20. R

    SI KWELI Heche: Tunatambua kuna baadhi ya viongozi wenzetu (CHADEMA) wanatumika katika kuchochea hizi vurugu

    Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…