On 13 March 2026, the Chief of the Defence Forces, General (Gen) Charles Kahariri, was conferred with the prestigious Legion of Honour during a ceremony held on board the French amphibious assault ship DIXMUDE. Also honoured was Major General (Maj Gen) Joyce Sitienei, the Deputy Vice-Chancellor...
A Ugandan TikToker, Ibrahim Musana, has been charged with hate speech and unlawful access to personal data belonging to the first son and chief of defense forces (CDF), General Muhoozi Kainerugaba, following a video he posted on TikTok.
Musana, who operates online under the alias Pressure 24/7...
Moja ya habari inayopata nafasi ni kumuhusu Augustino Polepole kaka wa Humphrey Polepole akieleza kinachoendelea sasa kuhusu mdogo wake.
Lakini mbali na hivyo ameeleza namna Mkuu wa Majeshi namna anavyolipeleka jeshi ni tofauti na walivyofundishwa, ambapo kwa sasa jeshi wanashirikiana na...
The Chief of Defense Forces, Gen. Muhoozi Kainerugaba, and Senior Presidential Advisor for Special Operations, has appointed Brigadier General Jackson Pande Kajuba as the new commander of the UPDF Armoured Division in Masaka.
He replaces Major General Deus Sande, who passed away after...
Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China
Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja...
Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate.
Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala ifike mwisho.
Wakatoliki wenzako tunaimani kubwa na wewe unaweza kukemea huu ujinga na upuuzi...
Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali.
Waliorganize vizuri tena kwa muda mwingi.
Uharibifu uliofanyika tarehe 29 na tarehe 30 haukuwa bahati mbaya. Huwezi...
GT,
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning inside samia government wazalendo wanapuuzwa
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Uganda, Jenerali Kainerugaba Muhoozi, ambaye pia ni mtotot wa Rais Museveni amewaonya wapiga kura dhidi ya kukiuka miongozo ya Tume ya Uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2026
“Tunawaomba wananchi wapige kura kwa amani kisha waondoke nyumbani, wasiendelee kukaa...
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.
Early life
Mkunda attended the Ruvu Secondary School, where he played on the football team and was involved in student government.[1]
Career
In February...
Ndugu zangu Watanzania,
Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani mbalimbali wawapo katika misheni mbalimbali nje ya nchi.
Imefahamika ni kwanini Tanzania imekuwa salama...
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Baada ya Maandamano ya GEN-Z kufeli basi tuandae maandamano yenye lengo la kuipongeza serikali kwa kuendelea kudumisha na...
GT
CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini
Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu
Kutuma jeshi kwa lengo la kutisha waandamanaji ambao ni vijana wasio na siraha ya moto ni udhaifu...
Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF
DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo;
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.