cdf

CDF ni kifupi cha "Chief of Defence Forces" ambaye ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

    Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anayeunda Tume ni mtuhumiwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini? Na hawa viongozi wenye...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya ukimya wa CDF MKUNDA

    Binafsi nimeanza kupata hisia tofauti juu ya ukimya wa mkuu wa majeshi nchini afande, chief of defense forces Jacob john MKUNDA licha ya clip yake ya jana. Vipi maoni yenu wakuu?
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania CDF Nkunda ndio kikwazo chetu

    Taarifa zinasema , watu zaidi ya 700 wamekwisha kupoteza maisha..Jeshi Gani linaruhusu mipaka yake inavamiwa, Askari wa kigeni wanaingia na kuua raia wanaotekeleza wajibu wao wa kikatiba..! Kama ni hivi basi CDF hafai
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

    Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba. Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi. Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi. Dunia inajua...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe CDF alikubali ombi la barua ya Captain Tesha na wenzake

    https://youtu.be/nirLti-Vxt0?si=a_hn41CAuu1SUE0m
  7. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CDF - General Nkunda, Hii ni Yako - Utake usitake!

    CDF Nkunda, , isikilize toka kwa colonel Augustino Polepole- Senior Officer, sio ndefu na ina ujumbe mulua kabisa, mjumbe hauwai, isikilize mwenyewe : https://youtu.be/mRY7ojCKQbw?si=cTLj6bkVC6RqXmIP
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtaje CDF Bora wa muda wote hapa Tanzania

    GT Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu. Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  12. pulex

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

    Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe. Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sina shaka na uzalendo wa CDF General Jacob Mkunda na JWTZ yake

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa taifa, na msimamo wa kutanguliza maslahi ya Watanzania ni mambo yanayolifanya JWTZ kuwa taasisi ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aking'angania sana CDF mpe maneno aliyosema CDF wa Tunisia kwa Rais Ben Ali

    Mwaka 2011 baada ya Wananchi wa Tunisia kushika bango aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Ben Ali atoke Madarakani jeshi liliamua kumpakia kwenye ndege kumpeleka Saudi Arabia. Akiwa njiani Rais Ben Ali alijaribu kumshawishi Mkuu wa Majeshi ili arejee na kuendelea kuwa Rais. Mkuu wa Majeshi ya...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Next CDF? Something she is cooking

  17. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi Jacob Mkunda akutana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025. Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

    Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
Back
Top Bottom