cdf

CDF ni kifupi cha "Chief of Defence Forces" ambaye ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi.
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: Natamani Jeshi letu liwe la kisasa, tutengeneze zana zetu

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema anatamani Jeshi letu liwe la kisasa zaidi na liweze kuchangia uchumi wa nchi na liwe la kujitegemea ‘sustainable military’. “Kwa nini wenzetu wanatengeneza zana kutuuzia sisi, na kwa nini na sisi tusitengeneze zana za...
  3. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

    Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi. Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi. Kwanini mpaka sasa hivi...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya. Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikikupendeza muongezee muda CDF General Mabeyo

    Rais wangu Samia Suluhu Hassan nitafurahi mno kama ukikataa CDF General Mabeyo asistaafu sasa bali nakuomba muombe umuongezee muda mpaka 2025 na ikiwezekana pia nenda nae hadi 2030 ikikupendeza. Ameliheshimisha JWTZ na ni Jemedari sahihi, makini na aliyetukuka kabisa. Tafadhali usiiache hii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

    Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa. Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo na umteue Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa CDF mara baada ya Mabeyo kustaafu

    Jambo Afande!! Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka. Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama...
  9. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania CDF yawaweka pamoja Makamishina na Makamanda wa Polisi nchini kujadili Ukatili wa Watoto

    MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii. Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

    Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi ya watanzania kuonyesha uwezo mkubwa wa kutabiri vifo, kuvifuatilia vitokepo na kusema sababu ni UVIKO-19 na kadhalika. Ni juzi tu tumeondokewa na aliekuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa. Haijaelezwa kinaga ubaga kuhusu kifo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Je, kiprotokali Mkuu wa Majeshi (CDF) atampigia salute Meja Generali?

    Habari, Juzi Mh. Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa mikoa wa mikoa yote ya Tanzania bara na miongoni ya walioteuliwa ni aliyekuwa mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja General Charles Mbuge kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brigedia Generali Marco Kaguti ambaye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

    Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo. CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo. Chanzo: TBC
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  14. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania 'Kuta kwelikweli, ulinzi wa CDF, lakini Tanzanite inatoroshwa kama mwanzo', hii imekaaje jamani?

    Sasa Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu anasema juhudi zimefanyika kudhibiti wizi wa Tanzanite pale Mererani. Juhudi hizo ni pamoja na ujenzi wa ukuta wa umbali kama km 25 hivi, na kuweka ulinzi wa JWTZ. Lakini bado Tanzanite inaondoka kama mwanzo. Neno hilo limemfanya mpaka CDF 'ametikisika kwenye...
  15. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

    Kwa mujibu wa katiba na Sheria za nchi yetu viongozi waandamizi wa polisi, Jeshi la Wananchi na wengineo wakistaafu wanaruhusiwa kuomba kuongezewa muda au mteule wao anaweza waongezea muda? Kama wataongezewa muda, ukomo wakuwaongezea muda ni miaka mingapi? Je, ipo mifano ya viongozi wa vyombo...
  17. Mronje

    JamiiForums Tanzania Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

    Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika na wa kuwajibishwa...
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo asilaumiwe: Usalama kupitia njia ya kuficha kitu au usiri sio salama kama inavyo dhaniwa

    Salam wana JF. Leo ningependa tujadili lawama anazopewa CDF General Mabeyo baada ya kuonekana kama ameleeza mengi yaliyo paswa kuwa siri kuhusu ujenzi wa Makao Makuu Ya Jeshi la Wnanchi (JWTZ) kule Dodoma. Katika kutoa maelezo yake ilionekana kama amefichua sehemu za kimkakati ambazo zitakuwa...
Back
Top Bottom