Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
Ndg,Faris Buruhan ameshindwa katika kura za maoni Bukoba Vijijini kwa kupata kura 4619 nyuma ya mbunge aliyepo Dkt Jasson Rweikiza aliyepata kura 6465 .
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Leo tarehe 04 Agosti 2025 nchi nzima imeshuhudia zoezi la kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge kuelekea uchaguzi mkuu hapo Oktoba 29.
CCM ilianza kuvunja Katiba ya Nchi baada ya kumteua Samia Suluhu kuwa mgombea pekee wa Urais hapo January ambapo kwa mujibu wa Ibara ya 38 ya...
Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao.
Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
Nakumbuka huyu mzee aliwahi kusema mala kadhaa pale bungeni kuwa itafika mahali hakuta kuwa na chama cha upinzani kitachokuwa na wabunge, madiwani na hata wenye viti wa vitongoji na watabaki CCM
Watupu bado watanyosheana vidole na hata kugombana wenyewe kwa wenyewe,Na hiki ndicho kinachotokea...
Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi?
Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio...
Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa.
Wajumbe wameshachagua wabunge na...
Mbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10...
Hii nimesikia live katika kura za maoni kuna kituo wameongezwa wajumbe hewa 120 up kufika 400 na kufanya yule ambaye ana stahiri kushinda kushindwa alisikika msafiri mwezangu kwenye bus akiongea na simu
Kwa madai yake ni kuwa hata MB akimaanisha mbunge kachukia tukio ilo maana na yeye ana hisi...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Baada ya kulielezea kundi la Wanamtandao napenda tena kuwaletea Uchambuzi mdogo kuhusu kundi kinzani la Wajamaa ndani ya Chama cha Mapinduzi. Hawa wanajulikana kama Sukuma Gang au Chato Gang.
Kuna nadharia nyingi zimeenea kwa miaka kadhaa kuhusu uwepo wa Kundi la...
Tupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu...
Aibu kubwa kujihusicha na chama kama hiki.
Wizi ,ruchwa,upendeleo kwa familia za vigogo, kwenye mikutano
Katiba kuvunjwa kama vile watu wanavunja miwa.
Watu makini wamekaa kando
Uhuni unaoendelea kushuhudiwa katika kipindi hiki cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dalili ya kuporomoka kwa maadili ya kisiasa na ukosefu wa utawala wa sheria ndani ya mfumo wa chama hicho. Matukio ya kukodi vijana wahuni ili kuwadhuru wapinzani wa kisiasa ndani ya chama...
Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari...
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama.
Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia.
Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
Wajumbe ni watu wema sana.
Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi.
Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao.
Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu.
Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.