ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM nchi nzima wanalalamika kudhulumiana.

    Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM. Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Simiyu yalalamikiwa kuwala kichwa watia nia ya udiwani maswa

    Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Catherine Joachim Aibuka Mshindi wa Ubunge Tanzania Bara Katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi CCM

    Jumuiya ya wazazi ya chama Cha Mapinduzi (CCM) imetangaza matokeo ya uchaguzi wa wabunge na wa wakilishi wa Jumuiya hiyo huku Catherine Joachim akijinyakulia ushindi kwa nafasi ya ubunge Tanzania Bara kwa kujizolea kura 597 akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu Khadija Shabani aliyepata kura...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakiwasha baada ya majina kurudi

    Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi. Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa CCM Mufindi atuhumiwa kwa njama za kuiba kura za maoni kumuunga mkono Mbunge Kihenzile

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025, ili kumuwezesha Mbunge aliyepo madarakani, Jimbo la Mufindi Kusini Davidi Kihenzile, kuendelea...
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima hayajatekelezwa

    Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni? Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu yaleta mabadiliko chanya katika kukuza demokrasia ya kuwapata viongozi

    MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  12. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania GE2025 ChAUMMA wanasaka viongozi wa CHADEMA kila kona nchi mzima, wiki yote hii. Wamekwama kwa 98%.. Kulikoni? Mbona hawaendi CCM?

    Mwanzoni nilipewa taarifa na Diwani Mstaafu wa Chadema wiki iliyopita. Baadaye akaniambia waliokuwa madiwani wenzake wa Dsm karibu wote Dar na kwao Mbeya wameombwa kujiunga Chauma. Leo nimepata taarifa ya Viongozi wa kata Fulani na wilaya Mojawapo nao wameombwa kujiunga na CHAUMMA. Taarifa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Binti Ng'wasi Kimani, Aliyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombea Urais CCM, apitishwa na Wajumbe ubunge viti maalumu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa JF, Msione nipo kimya, ni ubize na u serious wangu tu kwenye kampeni kura za maoni CCM, Msichoke kuniombea

    Pamoja na watia nia wengine walioidhinisha na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa, namshukuru sana Mungu kwa kibali, ndugu yenu Tlaatlaah ninaendelea na kampeni za kura za maoni vizuri sana kwasasa, licha ya kwamba sikufanikiwa kufanya hivyo katika baadhi ya kata siku ya kwanza ya kampeni...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM iruhusu CHADEMA kutoa mapendekezo yao kuhusu wagombea wa CCM wanaowataka

    Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM warudisha kadi, baisikeli na pikipiki za chama baada ya kuenguliwa kwa majina udiwani

    Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Bora kura za maoni CCM wapige wanachama wote sio wajumbe tu

    Ndugu wana JF, Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki. Pia kumekuwepo na chuki miongoni mwa wajumbe. So mimi naona bora wanachama wote waruhusiwe kupiga kura za maoni.
  20. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Niliwambia hili siku si nyingi "Usomi, Mapenzi kwa Chama, Uadilifu na Michango yako haitakupa ubunge, CCM ina wenyewe" nafikiri tumeelewana

    Wasalaam Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni... Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji hii tusubiri siku nyingine labda Hali ibadilike..... Usiku mwema
Back
Top Bottom