ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

    "Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Chadema badala ya kuuza sera mshike Dola mmeamua kudandia, kujadili na kukosoa agenda za CCM!

    Mnacheza Ngoma ya Lumumba badala ya kuwazia kushuka Dola kwa sanduku la Kura. Niwape pole ila hamjachelewa sana
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa ndani, CCM tunamchukia sana Mwamposa

    Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular. Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane. Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Geita yafuatilia tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM

    aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge na madiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga wamekosea changa 100m kwa CCM, weledi haukuonekana

    Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji. Eng. Hersi ameteleza vibaya sana kwenye hili. Pale ingetosha tu kusema GSM kachangia 10b basi. Na watu wa media wakakosea zaidi kuiweka 100m kwenye accounts ya habari ya Yanga kuonyesha kuwa Yanga imechanga hiyo pesa kutoka kwenye vyanzo vyake.
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Wahuni wamewatishia Majaji kesi ya Dkt Malisa dhidi ya CCM ya Genge la Samia mpaka Muda huu 14/8/2025 ni Kimya !.

    Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?. Majaji wametishiwa na wametishika
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum inakuwaje hawa watu mnawapa sana position ya habari za propaganda zao toka CCM

    Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025 Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta. leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam imemteua Shetta kugombea Udiwani Kata ya Mchikichi

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ally Bananga...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

    Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mpina ataja sababu za kuhama CCM

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia ACT Wazalendo. Soma pia: Bwege: Mpina siyo katoka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nilianza kusikia nampiga vita Rais, nikachukua hatua ya kukutana na viongozi waandamizi wa Serikali, nikaomba kuonana na Rais haikuwezekana

    Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasi ya Urasi chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na aliyekua Mbunge Jimbo la Kisesa na Mwanachama wa CCM, ameeleza kuhusu kuenguliwa kugombea ndani ya CCM na kuhama chama Ameeleza baada ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naweka kumbukumbu ya rejea: wanaCCM wanajengwa na mfumo wa Chama na hakuna mkubwa zaidi ya mfumo

    Sitozungumzia yaliyotokea huko nyuma lakini Uzi huu ubaki kumbukumbu ya rejea kwa vizazi vijavyo kwenye mambo yafuatayo kuhusu CCM: 1. CCM ni mfumo 2. CCM ni mfumo mkubwa kuliko mifumo watu 3. Umaarufu wa wanaCCM unajengwa na mfumo 4. Hakuna ndani ya CCM ambaye ni mkubwa kuliko mfumo 5...
  15. V

    JamiiForums Tanzania WACHINA waliruhusiwaje kuchangia CCM. Sheria zinasemaje ?

    Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia. Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona lisilo la kweli alilosema Polepole; anzia CCM kukiuka katiba hadi kujiuza kwa matajiri

    Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi. Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania TFF iadhibiwe na FIFA endapo haitaiadhibu Yanga kwa kushiriki kampeni za CCM!

    Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
  18. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuishabikia na kuiweka CCM madarakani, ni ukichaa au kurogwa kwa watanzania?

    Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania. 1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari. 2. Mfumo wa pasport haueleweki 3. Ufisadi ndo usiseme 4. Umasikini...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM bado ni chama cha kijamaa?

    Niliangalia ile harambee yao na jinsi wanavyoendesha chama chao, nikajiuliza kama CCM bado kina sifa ya kuendelea kuitwa chama Cha kijamaa... CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi ama ndiyo kimeshakuwa chama cha MABEPARI na wafanyabiashra? Ubeberu umetamalaki CCM😄😆😀
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga na CCM wanapigania ukombozi kutoka kwa nani?

    Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani? Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
Back
Top Bottom