Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa!
Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali...
Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Chawa wa Mama naona wanafanya ionekane CCM ni chama Kikubwa !!
La hashaa !!.
CCM ni chama kilichojifia, kilichochokwa na watanzania na Kipo kwenye Hatua ya mwisho ya Kifo chake , CCM hakuna namna yoyote Ile ya kufanya kiwe hai mioyoni Kwa Wananchi.
In fact, Watu wamechoka tu kuongozwa na...
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina
Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.
Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.
Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.
Leo hii masikini uteuzi...
https://youtu.be/BhcymOXCtEM
Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi.
Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa ataendelea kubaki ndani ya CCM na kuunga mkono maamuzi ya chama.
Akizungumza mara baada ya kutangazwa...
Just like the famous Swahili saying that goes "Hayawai hayawahi sasa yamekuwa" which means "Whatever we are waiting for has finally happened"
After days of anticipation, postponements, and overnight deliberations, the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) has finally announced the names of its...
NYONGEZA YA MAJINA YA WATIA NIA WALIOTEULIWA
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025.
Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema...
Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
Rais samia amefanya mengi yakukumbukwa, kama mkuu wa nchi lakini pia kama mwenyekiti wa ccm.
Jambo kubwa sana ndani ya chama, ni kusimamia mabadiliko ya katiba ya ccm kupanua wigo wa demokrasia. Kupitia mabadiliko haya tumeshuhudia idadi ya wagombea kuongezeka katika majimbo.
Kupanuka kwa...
Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa.
Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28.
Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini.
Salum atachuana na wagombea wengine watano.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
Nimeona majina ya wabunge wa viti maalum wa CCM waliokaa zaidi ya miaka 10.
Sasa nashangaa lile azimio lao vipi kuwa viti Maalum mwisho miaka 10?
Soma pia; Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6. January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.