Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...