HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,542
Reaction score
17,541
Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA

Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.

CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.

Kwa kiufupi ccm nao ni mamambaz24

Yote kwa yote TULINDE MIGONGO HALI NI MBAAAAYAAAA.

NYIE MADEMU PIA LINDENI MIGONGO HIYO WATU WANAPENDA SANA MINDUKU YA KIKE SASAHIVI.

Ccm Wana akili nyingi sana
Heko kwao
 
Kwenu mkifiwa huwa hammalizi msiba. Miaka yote mnaomboleza?
Kula hamli tena
Kunyya hamnyi
Kulomba, hamlombani tena kwa sababu mmefiwa ?
 
Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA

Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.

CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.
I know it long time ago, ni vile siwezi kupiga kelele tu.

Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.!

Tembelea: www.katibampya.com
Kauli mbiu YBWYB
 
Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA

Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.

CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.

Kwa kiufupi ccm nao ni mamambaz24

Yote kwa yote TULINDE MIGONGO HALI NI MBAAAAYAAAA.

NYIE MADEMU PIA LINDENI MIGONGO HIYO WATU WANAPENDA SANA MINDUKU YA KIKE SASAHIVI.

Ccm Wana akili nyingi sana
Heko kwao
Huwa napenda sana JamiiForums Members wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa. Ulichokiandika ndiyo Ukweli mtupu japo najua Matomaso wakiongozwa na Expensive life watakubishia na hadi kukukosoa.

Wenye Akili Kubwa wenzako tulipoona tu baada ya BASATA kumuadhibu Dudubaya na haraka sana Msemaji wa Yanga SC na baadhi ya Makampuni kujitokeza kumtetea huku Mitandaoni suala lake likipewa hyping ya hali ya juu tukajua kuwa Script ilizingatiwa vizuri na aliyeiandaa kafanikiwa 100%
 
INGEKUA ishu serious kweli watu maarufu wangekaa mbali kama wanavyokaaga mbali na ishu zinazoihusu jamii kukandamizwa.
 
Hii hoja ya kuleta jambl fulani kwa ajili ya kuzima jambo fulani imekaa kipumbavu.

Ukiwa na akili zako timamu unaweza kujadili ya Dudu Baya na ukajadili pia ya Tundu Lissu.

Ni mpumbavu pekee anaweza akahamishwa mada na kina Wema Sepetu.
 
Aslimia kubwa ya watz wanahamishika, kama wewe hauhamishik mpo wachache sana, eti basata inamfungia dudu, halafu makada na wabunge wa ccm wanamsapoti dudu Hadi kwa kuchangia, hakunaga iyo
 
Back
Top Bottom