ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba, usihofu matokeo kura za maoni, kikanuni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM yaweza teua yeyote kuwa mgombea ukiwemo wewe

    Uwe na amani na subira bado mambo hayajaisha
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mh Polepole asema , Mzee Wasira akiiwakikisha CCM alitumika kuvuruga kabisa Mchakato wa Katiba Mpya !!.

    Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amjibu Rostam: Ulitaka nikae muda gani CCM ili ndio niwe na uhalali wa kuongea?

    Wakuu, Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

    Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa CCM Ilala Apambana Kumsafishia Njia Mgombea Wake

    Katibu wa Wilaya ya Ilala CCM akimpigania Mgombea wake dhidi ya Mgombea wa anayekubalika na wengi, ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa Mgombea wa Katibu huyo.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

    Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chama changu cha CCM

    Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura. Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM kuwatawala watanzania: If you want to befriend a Lion, starve it intermitently and then feed it with a piece of meat

    1. CCM imeshajua kuwa watanzania wana njaa, tena njaa kali. 2. CCM anapigilia msumari hapo hapo, anawa starve zaidi kwa mbinu ya vitisho, kukosa ajira kwa wasomi etc etc . 3. Then anawarushia vipande vya mkate, such as .ajira kidogo, baiskeli, pikipiki, visenti kwa timu za mpira etc...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole atangaza kuinanga CCM leo usiku tena

    Naam habari ndio hio, anasema leo tukae mkao wa kula, anakuja tena na leo ana watu kadhaa wa kuwajibu..... Hii ngoma imenoga, wacha tuone. https://www.youtube.com/live/3RjbB6EGgsk?si=NLp9VuqDweX6RTuq https://vm.tiktok.com/ZMSEv6VN6/
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kama TAKUKURU wameshindwa. basi CCM angalieni hili

    Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake. Hii ni Moja ya ripoti yenye Ukakasi na inayo vunja moyo Kwa Ustawi wa Wanawake Ndani ya Jamii zetu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunahamasisha maadili na uwazi ndani ya CCM

    Katika chaguzi nyingi za kura za maoni ndani ya CCM, asilimia 60 hadi 80 ya walioshinda wamekuwa ni wale walioanza kampeni miaka 2 hadi 3 kabla ya mchakato kuruhusiwa rasmi na chama. Wamewekeza siyo tu muda, bali pia wamenunua ushawishi ndani ya mfumo wa chama kuanzia ngazi ya mashina hadi mkoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

    Wanabodi, Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole...
  18. Michael Dudicoff

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Dodoma wapinga uteuzi wa Mayala

    Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi ofisi za CCM Wilaya wakieleza kutokuwa na imani na diwani mteule wa kata hiyo, Pascazia Mayala, wakidai...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nani mshindi CCM Mbulu Mjini?

    Mwenye kujua Nani kaibuka kidedea jimbo la Mbulu Mjini!
  20. L

    JamiiForums Tanzania CCM imvue Uanachama na Kumfukuza Kabisa Humphrey Polepole ili Asiendelee kutumia Jina la Chama Kwa Maslahi yake

    Ndugu zangu Watanzania Kama kuna kitu CCM inapaswa kuchukua hatua za haraka kwa kipindi na wakati huu. Ni kumvua uanachama pamoja na kumfukuza au kumtimua haraka sana Humphrey Polepole kutoka ndani ya CCM. Anapaswa kufurushwa bila huruma wala subira wala ngoja ngoja. Kwa sababu huyu mtu hana...
Back
Top Bottom