ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndiyo wanaowania ubunge kupitia CCM mkoa wa Songwe

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Songwe katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha na heshima yao yote wananunuliwa kwa nyama na baada ya kula hawana chao tena

    Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini. Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wa Arusha: Samia usichanganye siasa na mila hatutaki mazoea na wewe

    Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena. Wananchi wa kitanzania siku wakija kuacha kushibishwa kwa siku moja ili wauzwe maisha yao na vizazi vyao ndipo wataanza kuwa na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Gwajima alishindwa Kawe wakakatwa 3 akateuliwa yeye, CCM ikapata kura

    Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

    Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania haiwezi kuvushwa na CCM ,HAIWEZEKANI ni lazima itafutwe namna ya kuikomboa hii nchi kwa mara nyingine

    Ndivyo ilivyo na msio ukweli , CCM haiwezi tena kuikomboa hii nchi na kuipeleka kwenye maendeleo ya kweli yanayo lingana na rasilimali zilizopo na sasa ndio kabisaa imesha jiingiza kwenye tope zito kabisa
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu mdau hebu Taja bila hofu mambo ambayo ni ya uongo yakisemwa na viongozi wa vyama vya siasa nje ya CCM

    Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya uongo ambayo ukiamini kwamba ni ya kweli wakati huo
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawataki CCM ishike madaraka, wakati huo huo hawaitaki ACT iwepo kokote duniani na pia hawaitaki CHAUMMA popote Tanzania Wanapigana na wowote!

    Hao ndio chadema ni kama nyoka Fulani anaitwa koboko yeye Huwa anarusha sumu hata majani yakitikisika tu ! Wakati mwingine hawataki hata nyoka wenzake anaona wote ni adui zake !! Chadema anaweza kukuona binadamu pale unapokuwa upande wake lakini saa yoyote ukiwa upande mwingine wa chama...
  12. W

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka kuwa Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi hadi Chama Cha matajiri

    Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo. Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama. Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema, anaiunga mkono CCM uchaguzi mkuu

  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanaoingia CCM ni kweli wanaipenda?

    Je, Chadema wanaoingia CCM ni kwenye wanaipenda. Msiyoyajua kichini chini wengine ndiyo wapeleka habari kwa Chadema. Mfano moyoni Kitila ambaye alipelekwa Chadema anawapa habari nyingi sana marafiki zake wakina Lema na Heche. Kuna wengine wengi tu ambao sio wanachadema lakini ni wapinzani wa...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi imeanza, mgombea awasili eneo la tukio bila mapokezi ya wananchi

    Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi. Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani. Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu...
  16. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aliemshinda Baba Levo kura za maoni apewa jumuia ya wazazi

    napita tu This is faith
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ameyakanyaga kwa Baba Levo huko Kigoma Mjini

    KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo. Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama. Zitto ni msomi sana...
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

    Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
Back
Top Bottom