ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ina pesa nyie

    Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Nyuki aiunga mkono CCM kwa wimbo maalum wa siasa

    Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga! ================= Mchungaji Nyuki amejitokeza kuwa miongoni mwa wachungaji waliotoa mchango wao wa kipekee kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mvua yamfurumusha mgombea wa CCM kijijini Butiama

    Ulikuwa ni mkutano wa Kampeni na mgombea ubunge wa CCM alikuwa anakampeni apigiwe kura kuwa mbunge . Baada ya Ngoma nyingi za utamaduni spichi zikaanza. Akafika kada mmoja kuongea. Nimeshasahau alisema nini, lakini alikuwa tu anafungua mkutano anawakaribisha wote. Halafu akaja huyu kada...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

    JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea nchini kwanini tusiikatae CCM?

    Habari zenu Greate Thinkers, Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera zao. Fikiria wanaendelea na kampeni zao kwa raha zao familia zao lakini wamesahau kwamba sisi...
  6. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ahadi za kiini macho

    Kilichoshindikana siku 1000 kitawezekana siku 100?
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM Watueleze wamefanya nini Miaka Mitano

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

    GT The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau. Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age. Tofauti na hapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM ikiondolewa, Mahakama na watekaji dhidi ya CHADEMA, itaambulia 16% tu ya kura zote kwa uchaguzi wowote ule!

    Sina mengi ya kuandika! CCM ipo kwa sababu Police, Mahakama na watekaji wako nyuma ya CCM Bila ya hao, hakuna kitu inaitwa CCM nchini hadi hivi sasa napoandika
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Nchimbi: CCM tutaongeza upatikanaji wa ruzuku ya mbolea vijijini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza ruzuku ya mbolea kwa wakulima, ikiwa ni mkakati wa kuongeza tija ya kilimo, kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha ya wakulima hususan wa maeneo ya vijijini mkoani Iringa. Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: MwanaCCM asema ushindi wa CCM hauna "Mungu akipenda"

  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Tulia: CCM ndio wenye ahadi za kweli zinazotekelezeka

    Ujanja mwingi sana hakuna lolote hapo! Kila uchaguzi ajenda ni madawati oh matundu ya choo, tokeki hapa na sera za kishamba kila uchaguzi! ================== Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Uyole amesema kwa miaka mitano tangu 2020 mpaka 2025 Serikali imefanya...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania wamepuuza kampeni za CCM? Au sababu ya ushindani wa upande mmoja?

    Unaweza kusema zimedolola. Au watu hawana mpango na siasa za uchwara? Ukiacha zile za Mgombea urais na makamu wake sababu ya watu kusombwa na malori ta mizigo. Kampeni za ubunge na udiwani zimedolola na watu hawazifuatilii kabisa. Hata zile nazo kama ni ziara za kunadi ahadi.
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeviti wa Mtaa wa CCM wanawasindikiza kakikundi kadogo kwenye Utajiri

    Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete arahisishiwa Kazi Jimboni, Mgombea Ubunge CHAUMMA, Mchinga, Yusuph Tamba atimkia CCM

    Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media kupiga kelele raia kugomea maandamano, Serikali na CCM wamepaniki kuwa safari hii Watanzania wapo serious?

    Wakuu salam, Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
  19. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Je hiki walichofanya CCM ni sahihi ?

    Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 October 29 ni kipimo sahihi cha hasira ya watanzania dhidi ya CCM dhalimu

    GT Hii tarahe tunaingoja kwa hamu. Tuone ni akina hao watakaoenda kupiga kura gizani. Hili Zoezi ni hiari hakuna kushikiana mabango. Je ni akina nani hao watakaohiari?. NRNE Wasaliti wapo
Back
Top Bottom