Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
CODE DMZ:
Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama?
Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti.
Kwa haya yanayoendelea...
1. Utekaji na Uuaji
Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi?
Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu?
2. Utawala wa Sheria
Kama kweli mnajivunia...
Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake.
Jamii baada ya kutonywa na yule kijana mjanja wa shule ya uongozi wananchi wameapa kutoshiriki haramu tarehe tajwa ,siku hiyo wengi itakuwa ni...
Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki.
Hayo yamejiri ikiwa...
Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa.
Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima.
Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia...
GT.
Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira.
Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba eti kama kuna mtu anataka.kufa ajitokeza kufanya vurugu.ah ha 😄 😆 huwa nawaangalia nawashangaa...
Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro
Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka
Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini
-----------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?.
Barabara ni Magufuli.
Hospital ni Magufuli.
Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli.
Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs.
Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
"Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end
OKTOBA 29 MAANDAMANO
Wakuu,
Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo.
Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii.
Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
Arusha kuna mambo jamaani, hizi bwebwe zote bila shaka anaye ratibu ni huyo mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda.
Naendelea kunoti kitu huyu Makonda kuna jambo lake zito anazidi kulitengeneza kwenye uongozi soon litakuwa rasmi.
=================
Hamasa ya mapokezi ya mgombea urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.