ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kama ccm wangekubali KUMWAGA oil, je polepole angeyasema haya ya mfumo(dukuzi)?

    Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nyinyi ACT, mtalindaje Kura, ikiwa CCM wanafumo wa kuingiza Matokeo kupitia NIDA kwenda INEC?? Hakika ACT na CHAUMA ni Project ya CCM

    Wakuu, hili la Leo alolisema Polepole, linatosha kabisa kuisambaratisha CCM. CCM imekoswa uhalali kabisa wa Kuexist kama Chama katika Dunia ya Multiparty . CCM imepoteza uhalali wa Kuendelea na Uchaguzi. CCM Wana Mfumo wa Kikomoyuta wakuingiza Matokeo kwenye Servers za Tume ya Taifa ya...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

    Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.” Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
  5. gstar

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

    Ndug. Davidilevi Nestory Kindikwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) KWIMBA, MWANZA Kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA Viwanja vya Nanenane Nzuguni S.L. P 2851 DODOMA. YAH: MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHETU CHA CCM KUKOSA SIFA Tafadhali rejea somo la hapo juu. Mimi ni mwanachama wa Chama cha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Usaliti mbaya: Kama si vyama shikizi kuchukua fomu za Urais , CCM isingeliendesha uchaguzi peke yake

    Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo. CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita wenyeviti wa vyama vya mfukoni, kuna siku will face the wrath of betrayal of democracy from the oppressed...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wabunge wa miaka 20+, watawachelewesha na kutuchelewesha sisi pia

    Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu. Hawa watalichelewesha taifa kwakuwa wanategemea rushwa kupita sio sifa za kutenda kazi
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mna mpango gani na watu wetu mnaowashikilia? Ni siku tatu hadi sasa mmekaa kimyaa na wala hamtoi taarifa?

    Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Upinzani na Mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu yataanzia ndani ya CCM 2028-2030 na kusambaa Nchi nzima na kuunganisha wazalendo wote

    Habari JF, binafsi sina uwezo wa Mungu wa kuweza kujaza mtungi wa gasi au kufanya miujiza , lakini ninaiona Tanzania baada ya 2030 ikiwa chini ya Mikono salama , wazalendo na wapenda maendeleo . Tuombe Uzima
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini nashauri CCM yale mabasi yenu bora myageuze kuwa mwendo kasi

    Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha.. Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao.. Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu.. Sioni ulazima wa kutumia...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania (TBT) Rais Samia: Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani

    Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani'' Soma pia: H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

    Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wetu jueni hamna kitu mtakifanya mkafanikiwa

    CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  18. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikao Cha Serikali na Waandishi habari, Kumbe wanataka Waandishi habari warushe Matukio ya Vituo vya WanaCCM Mamluki wakipiga kura

    CCM hii ya mbumbumbu wakidhani wanahadaa Umma na Jumuiya za Kimataifa. Wanaendesha Kampeni chini chini na Waandishi wa Habari wa Main Media na Hawa Akina Jambo TV ,MillardAyo ,n.k Mpango upo hivi .. Wapiga kura wanaojulikana ni Wanaccm , walipangwa kusombwa na MaBus na Malori kutoka Kituo A...
Back
Top Bottom