ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndio CCM wanavyoona ile picha ya watalii wanaoondoka

    Mtu wa kawaida: Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9. Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2: Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanaanzaga makanusho na vitisho ila mfahamu walishapanga serikali ya CCM

    Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao. Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote. Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Risasi za MO29 hazikuchagua ccm au chadema mwislamu au mkristo aliyepiga kura na asiyepiga kura

    Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Baada ya nchi kupona wakina gwajima na kina polepole watakuwa na nguvu zaidi kwenye chama cha CCM kuliko mtu yoyote

    Baada ya nchi kupona wakina gwajima na kina polepole watakuwa na nguvu zaidi kwenye chama cha CCM kuliko mtu yoyote
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwaheri ccm kwaheri Chama Cha Mapinduzi

    Ukweli usemwe ccm imefikia mwisho. 1977-2025. Huwezi kushindana na wakati.
  6. curie

    JamiiForums Tanzania Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dharau za viongozi wa CCM zimelifikisha taifa pabaya. Leo hii watu wanaishi kwa taharuki

    Nimeshangaa sana. Nimekutana na dada mmoja akaniambia kuwa ana ndugu zake wapo Dar wamefunga biashara sababu ya hofu ya D9. Oktoba 29 viongozi wote wa CCM kuanzia ngazi ya taifa mpaka mabalozi wa nyumba kumi hawakutarajia kilichotokea. Hii yote ni sababu ya dharau na mazoe kuwa watanzania...
  8. Foffana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo wengi wanaogopa kusema adui mkubwa wa taifa ni CCM na Samuya na Kikwekwe.

    Huwa sizungushi. Kichwa cha habari kiko wazi.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM inamuenzi Patrice Lumumba kwa kuwapoteza Watanzania kama alivyopotezwa yeye

    Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani. Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
  12. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kijana mzelendo anaelezea kuhusu CCM mtandao

    Je hili kundi ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa?
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM ni mpango wa Mungu

    Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM...
  14. canular

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania hatuwataki CCM na Rais Samia

    CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
  15. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Series za Kibongo zimeanza kudorora baada ya kujihusisha na CCM kwenye Uchaguzi

    Sio Juakali , Kombolela, Dunia, Big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchi Unafki umewaponza. Watu wengi walikuwa wanahitaji sana support yenu kama nyie mlivyosapotiwa na wapi mwisho mkaendekeza uchawa wenu. Anyway bigup sana Rose Ndauka, Jakline Wolper...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania CCM wameichafua nchi yetu

    Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu. Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia. Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM. Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu. Kunyooshewa vidole vya kukusolewa...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Uanzishwe mfuko wa kuchangia waathirika wa maandamano na wa vitendo vya kikatili vya dola la CCM na mfuko huo usimamiwe na UN

    Nafikiri ni wakati sahihi wa kuunda mfuko maalumu wa kuchangia waathirika wa maandamano ya Oktoba 29 na. wale wote waliiothirika na matukio yote ya kikatili yaliyofuata baada ya hapo. Lengo likiwa ni kuwashika mikono ndugu, jamaa na wanafamilia wa walipoteza wapendwa wao. Ukweli ni kwamba...
Back
Top Bottom