ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

    GT The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau. Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age. Tofauti na hapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM ikiondolewa, Mahakama na watekaji dhidi ya CHADEMA, itaambulia 16% tu ya kura zote kwa uchaguzi wowote ule!

    Sina mengi ya kuandika! CCM ipo kwa sababu Police, Mahakama na watekaji wako nyuma ya CCM Bila ya hao, hakuna kitu inaitwa CCM nchini hadi hivi sasa napoandika
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Nchimbi: CCM tutaongeza upatikanaji wa ruzuku ya mbolea vijijini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza ruzuku ya mbolea kwa wakulima, ikiwa ni mkakati wa kuongeza tija ya kilimo, kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha ya wakulima hususan wa maeneo ya vijijini mkoani Iringa. Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: MwanaCCM asema ushindi wa CCM hauna "Mungu akipenda"

  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Tulia: CCM ndio wenye ahadi za kweli zinazotekelezeka

    Ujanja mwingi sana hakuna lolote hapo! Kila uchaguzi ajenda ni madawati oh matundu ya choo, tokeki hapa na sera za kishamba kila uchaguzi! ================== Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Uyole amesema kwa miaka mitano tangu 2020 mpaka 2025 Serikali imefanya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania wamepuuza kampeni za CCM? Au sababu ya ushindani wa upande mmoja?

    Unaweza kusema zimedolola. Au watu hawana mpango na siasa za uchwara? Ukiacha zile za Mgombea urais na makamu wake sababu ya watu kusombwa na malori ta mizigo. Kampeni za ubunge na udiwani zimedolola na watu hawazifuatilii kabisa. Hata zile nazo kama ni ziara za kunadi ahadi.
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeviti wa Mtaa wa CCM wanawasindikiza kakikundi kadogo kwenye Utajiri

    Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete arahisishiwa Kazi Jimboni, Mgombea Ubunge CHAUMMA, Mchinga, Yusuph Tamba atimkia CCM

    Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media kupiga kelele raia kugomea maandamano, Serikali na CCM wamepaniki kuwa safari hii Watanzania wapo serious?

    Wakuu salam, Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
  11. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Je hiki walichofanya CCM ni sahihi ?

    Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 October 29 ni kipimo sahihi cha hasira ya watanzania dhidi ya CCM dhalimu

    GT Hii tarahe tunaingoja kwa hamu. Tuone ni akina hao watakaoenda kupiga kura gizani. Hili Zoezi ni hiari hakuna kushikiana mabango. Je ni akina nani hao watakaohiari?. NRNE Wasaliti wapo
  13. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pengo la CHADEMA linazidi kukua kwa kasi, CCM kwa sasa inashindana na Wananchi, na wakiendelea kuwa viziwi raia wataingia barabarani kweli

    Toka lini kwenye uchaguzi SERA zikamithilishwa na AMANI? Siku zote shilingi lazima iwe na pande mbili. Na demokrasia ni shilingi yanye pande 2. Kamwe haitakaa nchi ya kidemokrasia watu wote wakawa na muono unaofanana. Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia, hata kuwe na vyama vingi vipi, lazima...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekatwa CCM nakutimkia Act- Wazalendo awashukuru wananchi

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitangiri wilayani Ilemela jijini Mwanza Donnard Ndaro na kukatwa kwenye mchakato wa kutetea nafasi yake kupitia chama cha mapinduzi CCM ambae kwa hivi sasa anatetea nafasi yake kupitia chama cha ACT wazalendo amewashukuru wananchi wa kata hiyo kwa jitihada za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mstaafu CCM Moshi Mjini, Alhaji Shamba Afariki dunia

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Mjini, Alhaj Omar Shamba, amefariki dunia ghafla Septemba 22, 2025 akiwa nyumbani kwake Alhaj Shamba aliwahi kuhudumu kama Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2017 hadi 2022, ambapo alishindwa...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanaidharau na kutaka kuikomoa Arusha?

    Kwa wanaojua namna wana Arusha wanavyojitambua na walivyo na historia ya kuchagua upinzani ukiondoa mwaka 2020 ambapo Magufuli aliwafanyia ujambazi, anashangaa maana na mantiki ya CCM kuweka Daudi Albert Bashite kama mgombea wao. Sidhani kama anaweza kupata kura hata moja kama kura...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitendo cha CCM kumuweka ndani Lissu ili kulegeza uchaguzi kumemuinua zaidi Lissu kuliko wangemuacha na kupambana naye uraiani

    Kipindi cha nyuma Lissu hakuwa na wafuasi wengi kama ilivyo hivi sasa ,ndio maana hata alipogombea urais 2020/2025 dhidi ya Magufuli alibwaga kirahisi tu kulinganisha na Magufuli dhidi ya Lowasa 2015/2020. Na mpaka kufikia mwanzoni mwa mwaka huu bado hakuwa na kundi kubwa kiasi hicho kuanzia...
Back
Top Bottom