Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi.
=====================
Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi.
Polepole anasisitiza kuwa...
Chama changu CCM kimenisikitiisha sana.
Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha?
Yaani hata Murilo Kaufyata!?
Ni huzuni
Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, Nuru Kashakari (Kandahari), ameahidi kujenga kituo cha afya ndani ya miezi sita baada ya kuapishwa, akitumia fedha zake binafsi, ili kusogeza huduma za afya karibu na wananchi ambao kwa sasa wanalazimika kusafiri zaidi ya saa...
Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee”
Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika.
Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo.
Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba...
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
CODE DMZ:
Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama?
Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti.
Kwa haya yanayoendelea...
1. Utekaji na Uuaji
Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi?
Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu?
2. Utawala wa Sheria
Kama kweli mnajivunia...
Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake.
Jamii baada ya kutonywa na yule kijana mjanja wa shule ya uongozi wananchi wameapa kutoshiriki haramu tarehe tajwa ,siku hiyo wengi itakuwa ni...
Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki.
Hayo yamejiri ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.