ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Wagombea CCM umeacha vinyongo, ipo siku wanaoumia watachoka kufunika kombe

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepita, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilikamilisha kazi yake kwa kutangaza washindi wa Ubunge, Udiwani na Urais. Upande wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya, Chama cha CCM Mkoa kimeshinda kwa kura katika maeneo mengi lakini bado kumekuwa na mijadala kuhusu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%

    Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi 1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM watakaa na watu wa kundi gani kufanya maridhiano na kuandika hata katiba mpya ya mchongo?

    Nauliiza hivi kwasababu naamini: 1. CHADEMA watakataa kushiriki 2. ACT nao hawatakubali kushiriki 3. CUF hawatakubali kushiriki 4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi 5. Kanisa la Uzima na ufunuo hawatakubali kupeleka mwakikishi/wawakilishi 6. Shura ya Maimamu hawatakubali kupeleka...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

    Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine? Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
  6. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM wabadili jina la chama chao

    Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze kuharamishwa? So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM limeandikwa: DOB 05/02/1977, DOD 29/10/2025

    Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025. Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM. CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake kama Ba'ath Party vilipokwenda, kwenye jalala la historia.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

    Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM huu ni mda wa kubadili kauli zenu,Watanzania wa leo sio wale wa jana,hawadanganyiki mjini mpaka Vijijini

    Nakumbuka uchaguzi wa kwanza kabisa CCM walikuja na propaganda ya ukiwachagua wapinzani inchi itakuwa kama Rwanda na Burundi kipindi kile walikuwa wametoka kuuana sana. Lakini mpaka leo wanaamini Watanzania wa leo sawa na wakipindi kile,hivi mmemfunga kiongozi wa Chadema halafu mmeingia kwenye...
  11. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini CCM wanachokitaka kwenye taifa hili?

    Kuna kitu nimekuwa nikifikiria sana, na kila nikirudi kwenye hoja ile ile, naendelea kuona kwamba mengi tunayoyasikia sasa ni propaganda tu—njia ya kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa watu wasiopenda kuchambua mambo kwa undani. Kabla ya maandamano, Watanzania tulisema wazi kabisa: Tunataka...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

    GTs, Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa. Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ninacho kiona ni CCM kuamini wao ndio wamiliki wa Tanzania

    Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya kuiangusha CCM, nini jibu la matatizo yetu?

    Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni waliondoka miaka zaidi ya 60 iliyopita. Ajabu, bado tunawafuata na kuomba mikopo na misaada toka kwao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Nchimbi and Rose Migiro. CCM inakufa, huyu atarudi kwao na kuwaachia mfu. Mshaurini mema na si kujikomba

    Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu. Mshaurini ukweli na utawaweka huru! Nyote watatu semeni Amen.
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM imewa brain wash watu wamekuwa kama vichaa

    Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya CCM kuanzia kutoa hongo, kununua wapinzani,kuteka watu, kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama? Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli? Au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

    Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano. Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa . Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania SHETA hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam, CCM fanyeni vetting ya viongozi wa wakubwa

    Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar CCM heshimuni basi wananchi kidogo Mnafanya mambo kishabiki mno. Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha...
Back
Top Bottom