ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM waliopo humu kipindi hiki cha mfungo wanataka nini?

    CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90. Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa. Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijani!

    Hivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo? Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii😝😝 Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la waTanzania ni kuwaamini viongozi mamluki wa CCM

    Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa maslahi ya CCM . Ya wapasa wapinzani wasimame wao wenyewe wasitegemee kina Warioba, Butiku...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Mchinga watu walizuiwa kuchukua fomu za ubunge, ili Salma Kikwete apite bila kupigwa. Ukweli wote huu hapa!

    Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana. Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka huu 2025 katika jimbo la Mchinga apite bila kupigwa kwenye kura za maoni na ndicho kilichotokea. Soma...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama 7 wa CHADEMA wajiunga CCM

    Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?! Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga bana😂🤣🤣 ========= Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC)...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hata humu JF na mtaani wanajifanya wajanja sana na waelewa ila Wazazi wao wanasombwa na Malori waende kwenye mikutano ya CCM

    Wale Wazazi wanao sombwa na malori kule bushi wana watoto wao mijini na wengine hata ni members wa JF. Ila sasa ukiwakuta huko mjini au humu utawaona ni watu waliopiga hatua kubwa ya upeo wa fikra kumbe ni full wajinga tu. Sasa kupiga hatua ya upeo kuna maana gani kama Wazazi wako wanasombwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Ahamasisha Wafanyabiashara Mbeya Kupiga Kura Oktoba 29

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya amekutana na makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 3000 jijini Mbeya na kuwaomba kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 Rais Samia, Wabunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Olesendeka: Kosa ambalo CCM haifanyi ni kumleta mgombea Urais ambae rekodi yake haijathibitika kuwa anaweza kuongoza Nchi hii

    Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro na mwanasiasa mkongwe, Christopher Olesendeka, amesema wagombea wa Urais wa Tanzania kutoka vyama vya upinzani hawawezi kulinganishwa na mgombea wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kampeni za ubunge jimbo la Mbulu Mjini mkoani Manyara hivi karibuni...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona? Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama 453 ACT Wazalendo Zanzibar Wahamia CCM, Wavutiwa na Uongozi wa Dkt. Mwinyi

    Wanachama 453 wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 15, 2025 wakibainisha kuvutiwa na uongozi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Mwakilishi wa wanachama hao Faki Ali Juma amesema wameamua kujiunga na CCM...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutalipa fidia zote, Serikali ya Chama cha Mapinduzi haidhulumu mtu tutakuja kulipa

    Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi...
Back
Top Bottom