ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Demokrasia ya CCM Bara katika picha

  2. GE2020 CCM yaanza kampeni kimya kimya. Tulia aanza kula kwa Mama Lishe, wananchi waziponda mbinu hizo; yadaiwa zimepitwa na wakati

    Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda . Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda...
  3. Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

    Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana. Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko...
  4. R

    Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
  5. Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar
  6. J

    GE2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

    Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo. Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi. Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya...
  7. Z

    GE2020 Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu wa rushwa

    Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu. Mimi siyo mwana CCM lakini leo napigiwa na mtu anayejitambulisha ni Mkurugenzi wa Halmashauri na anataka kugombea na anaomba support yangu. Namuuliza simu yangu kapata wapi? Anaomba niwe mpole tu tuelewane. Nauliza mbona mapema...
  8. J

    Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  9. T

    Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question. Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi. Watoto wa...
  10. Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

    Kwa siku za hivi karibuni, wapinzani hasa Chadema na Zitto wamekuwa wakifuatilia sana mambo ya CCM. Yaani sasa hivi wanafuatilia kila move anayopiga mgombea wa urais CCM badala ya kufuatilia mambo ya kwao? Nimeona gazeti la CHADEMA, Tanzania Daima habari kuu ni CCM na humu hadi social media...
  11. Tusitegemee uchaguzi huru na haki, kama watendaji wa serikali ni makada wa CCM wakitarajia kuja kugombea au kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM

    Sasa watumishi kama hawa ndio mtarajie kutenda haki na usawa?
  12. GE2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

    Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo. Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama...
  13. S

    Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

    Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi. Swali: Mafuriko hayo yako wapi? Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
  14. J

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole. Chanzo: Channel ten! Maendeleo hayana
  15. GE2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

    Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake. Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
  16. GE2020 Maajabu: Fomu ya kuomba Wadhamini ya Mgombea wa CCM inatembezwa na Viongozi wa CCM Makao Makuu...

    Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015...
  17. Hivi CCM ni chama kikongwe kwa umri wake au kwa kufanya maamuzi yenye busara na hekima?

    Chama cha Mapinduzi(CCM) ni kikongwe barani Afrika kikifuatia chama ANC Cha Afrika Kusini kwa umri, Sasa cha ajabu chama Kikongwe kinakosa demokrasia hata ya kuruhusu watu kujitokeza na kugombea urais ili wanachama wafanye maamuzi, kama mtu amefanya vizuri kwanini asishindanishwe na ambao...
  18. Wana CCM wenzangu tujitokeze kwa wingi kumdhamini Mgombea wetu wa Urais Magufuli ili wajionee wenyewe kinachokuja 0ktoba

    Leo nafurahi tena kuitumia forum hii, kuwahimiza makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, tujitokeze kwa wingi wetu kumdhamini mgombea wetu wa nafasi ya urais ndugu John Pombe Joseph Magufuli, ili waTanzania, ulimwengu na vyama vya upinzani wajionee wenyewe kwa macho yao jinsi waTanzania hasa...
  19. Namba 8: Mohamed Hija Mohamed achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.
  20. Namba 8: Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. WASIFU Shamsi Vuai Nahodha alizaliwa 20/11/1962 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…