ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

    Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na...
  2. K

    Nje ya dhuluma na upendeleo, daima wana CCM wanakosa furaha ya chaguzi

    Mada inahusika. Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar. Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine...
  3. GE2020 CCM itaendelea kushinda kwa sababu ya uimara wake na udhaifu wa wapinzani

    *UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.* Na Elius Ndabila 0768239284. Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote za kidemokrasia. Uchaguzi wa kidemokrasia Unaweza kuwa na mbinu nyingi za kushinda hasa sheria...
  4. Kupita bila kupingwa ni kwa CCM tu Na huku kutekwa ni kufunguliwa kesi kwa wapinzania tu?

    Habari za 2020 wana Bodi. Tanzania inavituko vingi mno. Kila nikipita kwenye vyanzo vya habari nakutana na KUPITA BILA KUPINGWA kwa wagombea wa CCM tuu, Hiiimekaaje? Hivi wapinzani bado hatujajuwa kujaza fomu? Hivi bado tunanunuliwa siku ya kurudisha fomu? Nini hasa kilichojiri kwa wagombea...
  5. T

    Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )

    Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama. Hakuna uhuru wa maoni Hakuna uhuru wa vyombo vya habari Hakuna mijadala ya hoja kwenye media Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja Rais amekuwa mfalme Deni...
  6. GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  7. BBC SWAHILI: Kwanini CCM imeweza kusalia Madarakani kwa miaka yote?

    Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani. Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
  8. Jimbo la Ludewa: Mgombea wa CHADEMA ashindwa kukidhi vigezo. Joseph Kamonga wa CCM ateuliwa

    CHADEMA LUDEWA WAPIGWA CHINI Ndg. Joseph Kamonga ambaye ni mgombea wa ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia CCM ameteuliwa na msimamizi wa uchaguzi, Sunday Deogratius kugombea ubunge jimboni humo. Aidha, msimamizi huyo amesema mgombea wa CHADEMA hajakidhi vigezo kisheria.
  9. J

    GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  10. GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  11. GE2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  12. T

    Je, ni kwanini wagombea wa CCM hawatekwi?

    Ikiwa leo ni siku ya kurudisha fomu za uteuzi, tutafakari kwa pamoja: 1. Kwanini wagombea wa CCM hawatekwi? 2. Kwanini hawatishiwi kuuawa? 3. Kwanini hawatuhumiwi kuwa ni raia wa kigeni? 4. Kwanini hawatuhumiwi ujambazi wala ukwepaji kodi? Tukipata majibu mazuri ya tafakari hizi, bila...
  13. GE2020 NEC isipomuengua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, Muungano utasalimika?

    NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika? Na, Robert Heriel Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni pamoja na Tundu Lisu kupenya NEC. Hofu kubwa ipo miongoni mwa wafuasi wa Mgombea huyo wa CHADEMA...
  14. GE2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  15. GE2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

    Mgombea Udiwani wa CHADEMA Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery' shitaka hili halina dhamana so kapelekwa magereza. Uchaguzi 2020 - Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya...
  16. Baada ya kukatwa CCM, Andrew Chenge akanusha vikali tetesi za kuhama chama

    Andrew Chenge amejitokeza baada ya kuwepo tetesi za kuhamia chama cha ACT-Wazalendo na kuongelea tetesi hizo zinasombaa kwenye mitandao ya kijamii. Chenge amewashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kwa heshma waliyompatia tangu 2005 kupeperusha bendera ya CCM kukomboa jimbo kutoka upinzani...
  17. J

    Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  18. GE2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

    Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini Update zaidi kuwafikia ==== Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na wananchi, amesema vyombo vya habari hasa televisheni hazijaona mikutano hiyo kwa hivyo haikonyeshwa...
  19. Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  20. GE2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

    Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi! Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani Siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola. Upinzani nchini bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…