ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    CCM fahamuni ushindi wa Lissu mnaweza kufananisha na reli ya standard gauge

    Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho...
  2. M

    GE2020 Zimebaki siku 31 za kupiga kampeni, sijamuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM

    Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli. Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo...
  3. S

    Maandalizi ya kulinda kura ni sasa, mjue CCM hawalali

    Muanze na kuwasunda mawakala, wakala atakeuza utu wake ni hatari sana kwa jamii,mnaweza mkaona msimamizi ndio tatizo lakini hawa mawakala hasa wa upande wa Tanganganyika hurahisika zaidi kupokea donge nono, kisha siku ya uchaguzi anasepa au anajiteka, mjue CCM moja ya mipango yao ni kuwanunua...
  4. S

    Tahadhari - Vionjo vitamu vya uongo wanavyotoa wagombea wa CCM

    WaTanzania kaeni chonjo na hotuba za viongozi na wagombea wa CCM,wasikilizeni tu,mkiondoka unakibusu kichinjio huku unajisemea CCM mtanitambua mwaka huu.Chakubanga anakusanya vyombo vya habari na kurusha tumbaku,uongo mtupu,ila jamaa anajua kupangilia kama una akili ya kizezeta unaona kasema...
  5. D

    Mgombea wetu wa urais JMT kwa tiketi ya CCM yuko wapi? Leo alitakiwa awe Iringa mjini akimchachafya Msigwa

    Mgombea wetu wa urais JMT yuko wapi? Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni? Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani? Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
  6. CCM inakosea sana pale inaposema vitambulisho vya machinga sio vya lazima

    Chama langu halipaswi kujichanganya juu ya suala hili kamwe, aidha kusema wajawazito kujifungua ni bure au watoto chini ya miaka mitano matibabu ni bure nasem ahivi kwa sababu ndani ya mda mfupi tu uliopita haya yalikuwa ni mambo ambayo yalikuwapo na baadhi yalitiliwa mkazo kweli kweli,kuhusu...
  7. N

    Yale majimbo ambayo ccm walipita bila kupingwa, wananchi bado mnatakiwa mjitokeze kupimgia kura Tundu Lissu

    Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
  8. GE2020 Sitaki kuamini CCM hawakuyaona haya

    Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu. Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling. Kwamba kizazi...
  9. GE2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

    Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23] Siandiki waraka hapa. Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia. Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii...
  10. M

    Napenda CHADEMA na ACT waibiwe kura na wasitangazwe ushindi, CCM watangazwe ushindi

    Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulianza mwaka 1995. Hivyo hadi leo tuna miaka 25 ya uzoefu uchaguzi. Mwaka 1995 tulisema Mrema kaibiwa kura. Mwaka 2005 Freeman Mbowe aliyegomea urais alikuwepo hata wakati Kikwete anatangazwa kuwa mshindi. Mwaka 2010 tukasema Dr. Slaa kaibiwa kura. Mwaka 2015...
  11. GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii. Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
  12. S

    CCM ikianguka, Diamond naye lazima umaarufu wake utaathirika kwa kushuka au kuingia doa humu nchini

    Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo. Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa...
  13. GE2020 Nini maana CCM kuwashirikisha Wasanii katika Kampeni? Je, ni uzalendo?

    Habari zenu wadau, Kipindi kampeni zikiendelea kushika kasi kuna kitu kusema ukweli sisi kama Watanzania tuna tafakari mara mbili mbili hasa aina ya kampeni zinazofanyika na chama cha CCM. Kumekuwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wasanii wa maigizo ambao wameshirikishwa...
  14. M

    GE2020 Naipenda CCM, Sipendi yanayojiri

    Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea: 1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa. 2. Magufuli chukua hatua...
  15. GE2020 Kwanini huu ndio Uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

    Amani iwe nanyi wadau Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM? 1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na...
  16. GE2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

    Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola. Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi. Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema...
  17. B

    GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
  18. K

    GE2020 CCM wamemwachia Magufuli fupa la Doto James na Mayanga Construction alitafune mwenyewe!

    Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali Ni kaa la moto! Hakuna mtu anaetaka kuligusa. Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba ardhini, yenyewe unaweza kuigusa, kuichezea na hata kuing'oa wakati wowote ili mradi treni halipiti na...
  19. B

    GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma. Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine. Sikia mheshimiwa huyu Ninawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…