ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

    Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu. Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo. Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  3. JamiiForums Tanzania CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

    1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k. 2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar); 3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji. 4. Kutangaza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Safu ya uongozi ya CCM imechoka, walikosa viongozi?

    Katibu mkuu wa CCM pamoja na Mwenezi ni baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ambao tuseme tu ukweli walipaswa kuwa viongozi wa Jimbo au Wilaya lakini siyo viongozi wa Kitaifa. Tukumbuke Mwenyekiti naye hana ushawishi kwenye jamii so viongozi wote wa juu ni vigumu kufanya siasa za majukwaani kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

    Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao! Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha. Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

    Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
  9. JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  10. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuipongeze CCM kuwaleta Elsewedy Electric Ltd kuwekeza nchini. Watajenga Industrial park ya Sq M milion mbili

    Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls. Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre milioni mbili. Kwa uwekezaji huu ajira na ujuzi utalifaidisha taifa letu. Ama kwa hakika, mama anaupiga...
  12. JamiiForums Tanzania Ufisadi ndani ya CCM: Nani anahusika na ufisadi huu mpya?

    Baada ya miaka kadhaa, leo nimeingia na kuwemo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba kikazi. Katika kupitiatia nyaraka za haraka zisizo na baraka, nikanusa ufisadi ndani ya chama changu pendwa. Ni ufisadi uliofanyika kupitia uhamisho wa Maktibu wa Wilaya wa CCM. Kama kada mbobevu, mwerevu na mzalendo...
  13. JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  15. O

    JamiiForums Tanzania CCM kilitukomboa, kukisaliti ni laana

    Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa. Kama bado upo hai, na unakilaani hiki...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Chongolo na Shaka wameonesha kushindwa kabla ya pambano, tunakusihi na kukuomba Mwenyekiti wa CCM uwaondoe

    Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

    Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa awamu ya sita. Walifanikiwa kuwakonyeza Watanzania kuwa tupo fiti na tukitaka kupindua tunaweza...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

    Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake: * Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kwa haya yanayoendelea ni kama wanajipaka kinyesi

    Wasalam: Kwa hali ilivyo, na jinsi nchi inavyoendeshwa kwa matamko na kuvunja Katiba, jumlisha kauli kinzani za wana CCM zinazowagawa watanganyika huko mbele itakuwa kazi ngumu kuwaunganisha, maana watu wamepoteza imani. Mambo yafuatayo yameligawa taifa: 1. Ugonjwa wa Corona ccm hawa hawa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…