ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

    Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama
  2. Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

    Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma. Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi...
  3. J

    RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  4. G

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  5. Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  6. Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

    Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey Polepole. ======== Polepole: Chama cha mapinduzi, safu yake ya uongozi na wanachama tumepokea kwa...
  7. U

    Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

    Mkutano na waandishi wa habari utaanza saa 8 mchana kutokea ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba ========== UPDATES: Humphrey Polepole: Chama cha Mapinduzi kinatoa aarifa rasmi ya kifo cha ndugu yetu na mpendwa wetu, John Pombe Joseph Magufuli, ambaye amekuwa Mwenyekiti wetu wa Chama...
  8. S

    Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  9. Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

    Rejea kichwa cha habari. Je, ni nani atachukua mikoba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi aka chama tawala?
  10. Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  11. Q

    CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  12. J

    Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana. Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
  13. J

    Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  14. J

    DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  15. Katika vitu ninavyopata shida kuviamini ni utetezi wa mwanaume anapochelewa kurudi na utetezi wa viongozi wa CCM

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya Maabara kwaajili ya kupambana dhidi ya Corona. "Ugonjwa huu wa Corona kwa kawaida hauonekani kwa...
  16. Ukweli mtupu: Wananchi tunataka haki ya kumuondoa mbunge asiyefaa kabla hajamaliza muda. Kwanini wana-CCM wasiopenda haki mnaipinga?

    Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge anatolewa kwenye nafasi hiyo na uchaguzi unaitishwa. Wabunge wengi wanaunga mkono sera na hoja ambazo...
  17. J

    Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  18. Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  19. P

    Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

    Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
  20. Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…