ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Shaka, tukusikilize wewe na CCM au Serikali?

    Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo. Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidharau serikali na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wajiandae kuzongwa na dola ili wajiunge CCM

    Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumuia za chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki. Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kununua wapinzani kumeisaidia nini CCM?

    Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake). Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na wanachama wa CHADEMA wakihamia CCM huku baadhi wakipokelewa kwa mbwembwe kama zile Bombardier au wafalme...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  5. JamiiForums Tanzania Mhe Mbowe akifungwa jela, ni faida kwa CCM au Jamhuri?

    Amani iwe juu yenyu wanajukwaa! Mimi nataka kujua, hivi katika hii kesi ya Mbowe mnufaika ni Jamhuri au CCM? Nauliza hivi kwa sababu najaribu kutazama kwa jicho la mbali ni kwamba, Mhe Mbowe hana records mbaya za kuisumbua serikali na wala hajawahi kulazwa jela kwa matukio ya utovu wa kinidhamu...
  6. JamiiForums Tanzania Majaliwa asema CCM kumpeleka kwa wananchi Rais Samia 2025

    Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 itakuwa ni CCM na kivuli cha Hayati Magufuli

    Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga. Sasa,kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM, picha za umwagaji damu Uchaguzi 2020 zinazosambazwa mitandaoni na wanachama wenu kupongeza waliomwaga damu, si dalili njema

    Tuna vyombo vya dola na chama dola, wenzenu kuanzia jana wanatoa makovu yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Zipo tuhuma za kupigwa Risasi kukatwakatwa na kulazimishwa kwa watu kurejea CCM na walipokataa walimwagwa damu. Wakati Taarifa hizi zikisambaa kwa kasi zikiwa na majina na maelezo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

    Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho...
  10. JamiiForums Tanzania Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

    Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya. Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

    Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana machachari ndani ya CCM

    CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
  14. L

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania chini ya Serikali ya CCM na dhana ya kujiajiri, vinakwepana. Kuna dosari sehemu

    Nianze kwa nukuhu ya Bwn.Lewis Carroll, ambaye alipata kunena kwamba “If you don't know where you are going, any road will get you there”. Kwa maana kwamba kama hujui unakoenda, njia yoyote itakufikisha! Nimeamua kutumia kunuhu hiyo kuiangazia elimu inayotolewa nchini Tanzania kuanzia ngazi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

    Ni suala la muda tu. Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa. Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM jitengeni na kundi la Wasiojulikana

    Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu? Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tuutambue mzizi wa machungu yetu nchini

    Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe. Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe. Hawa wengine si wenzetu tena: Kenya, Zambia, Malawi au Afrika Kusini. Itoke wapi furaha kwetu wakati pasipo na uhalali...
  19. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Magufuli wahujumiwa, CCM wacharuka

    Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa. Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

    Tufike mahali tuwe tayari hata kumfunga paka kengele. Tanzania ni nchi nzuri sana yenye kila kitu watu, madini, ardhi, mafuta, gesi, mito, maziwa hadi bahari. Mvua za uhakika na urithi mkubwa wote bure toka kwa Mola. Iweje tufikie kufarakana kwa sababu za kisiasa? Kwamba ni CCM, Chadema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…