ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
  3. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania CCM siyo ya Nape na Polepole

    Ili kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha wote Nape na Polepole ni "madegenyanga" wachukuliwe hatua sawia ili ku-harmonize hali hii inayotishia...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
  8. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Wahafidhina wanavyoiweka kwenye wakati mgumu ccm 2025

    Historia inatuonyesha na kusomeka kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vikongwe hapa barani Afrika vilivyobaki madarakani hadi sasa baada ya wimbi la kudai uhuru wa bendera, uhuru wa watu na rasilimali za nchi kumalizika kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Makala ya wiki hii...
  9. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo kuiondoa CCM Madarakani 2025

    Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu. Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025. Muda ndio utasema. Kama Sio Uraisi Basi Wabunge Watakua Wengi Sana. Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
  10. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha upinzani kimejipanga kuiondoa CCM madarakani?

    NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI? Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

    Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  14. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wapinzani mngeendelea na shughuli nyingine ya CCM muwaachie wana-CCM

    Habarini hapa jukwaani Katika mnyukano ambao unaendelea katika mitandao ya kijamii kati ya watu ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa katika Chama Changu cha Mapinduzi, ambapo ni ndugu Humphrey Polepole na Ndugu Nape Nnauye. Ni kili kwamba hakuna jambo ambalo linatokea kwa bahati mbaya katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ni uchaguzi wa ndani wa CCM

    Je, watanzania tuna msimamo gani na mtazamo gani juu ya chama tawala? Tunatarajia nini kwa hali iliyopo kuhusu uhalali wa chama hiki kuendelea kuongoza taifa letu? Mwalimu Nyerere mwaka 1962 aliacha uongozi wa serikali kwa msaidizi wake (Kawawa), akajitoa serikalini na kubaki chamani tu ili...
  16. Leak

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM ina wenyewe, Nape alisema ukweli. Hawa ndio wenye CCM wengine wamevamia!

    Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani hawamtaki. Lakini kwa bahati mbaya kundi hili 2015 lilijichanganya likamkabidhi mshikaji mmoja usukani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Pazia la hekalu linapasuka, asante wenye CCM

    Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao. Wahuni wakiongozwa na boys 2 men ni very organized walijua kuwa wanaowabana ni wazee ila watakuja kuphase out tu siku moja; wao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

    Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU? Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM...
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ni changa la macho. Huenda ni upinzani feki unaojengwa na CCM yenyewe

    Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM. Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
Back
Top Bottom