ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunamaliza mwaka 2021 taifa limegawanyika na CCM imegawanyika

    Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa. Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa. Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi...
  2. markp

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa si stahimilivu kama CCM na wadau wake wanavyodai

    Deni la taifa limekuwa wimbo mpya hasa kwa ccm wenyewe na sasa sisi wapinzani wacha tuimbe chorus maana bila chorus nyimbo huwa hainogi. Deni limefikia trilion 82 wakati watanzania kwa makadirio ya haraka ni milion 60. Ukipiga hesabu za haraka utagundua kila mtanzania anadaiwa trilion 1.3 na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape Tunaomba Kuwajua Wenye CCM

    Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM. Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je chama ni mali ya Wahuni wachache au wananchi. Hili ni swali gumu sana kwetu sisi wananchi wa kawaida
  4. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye CCM

    Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake. Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa). Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one. Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

    Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha! Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa. CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakivurugana wanafukuzana, CCM wakivurugana wanapatana na kuombana msamaha. Hii imekaaje?

    Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na hivyo na hivyo kuwa tishio kwa chama tawala. Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba ilianza nccr mageuzi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM kemeananeni mapema na muonyeni Haji Manara kavuka mstari

    CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea. Hebu acheni huo ujinga! Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?! Shauri yenu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie CCM, wapo katika vita ya ndani (CCM kwa CCM) na vita ya nje (CCM na Watanzania)

    Ni dhahibi kwamba Ccm chama cha siasa kikongwe kuliko vyote vilivyopo Tanzania, sasa kiko katika vita ya ndani (ccm kwa ccm) na vita ya nje (Ccm na Watanzania). Kwa ndani wana ccm wanashambuliana mercilessly wakipigania itikadi kinzani. Wako wachache wenye nguvu wanaotetea ufisadi na kuupamba...
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

    Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi. Wana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

    Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm. Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Anguko la CCM lipo jirani?

    Kwa muda mrefu sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli tumeshuhudia minyukano ya wazi ya kutokukubaliana baina ya Makada wa CCM kuhusu mwenendo wa baadhi ya mambo yawahusuyo wao kwa wao. Hivi karibuni kwa mfano Makada na waliopata kuwa Katibu wa Nec na Uenezi wa chama kile ndugu Nape Nnauye na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jizuieni kuongelea kila tukio hasa yanayohusu CCM

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa na maoni tofauti. Ilikuwa ni kujulikana kwamba bado aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kwamba...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

    Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Huu si ushahidi kuwa CCM ni chama dola? Je, kuna mangapi yanafanyika juma ya pazia zaidi ya hili?

    By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter). "Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
Back
Top Bottom