ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi kukosa imani na Polisi: CCM yaagiza Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo. Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Florence Samizi akamilisha ziara yake jimboni Muhambwe kwa kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM

    Baada ya ziara yake ya kutembelea Wananchi kwenye Vijiji mbalimbali Jimboni kwake kusikiliza na kutatua kero zao, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi alifanya mkutano wa mwisho wa kushukuru wananchi katika Kata ya Kibondo Mjini ambapo alishukuru Kata zote...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa-muziki bado pengo la marehemu Komba halijazibwa sio CCM wenyewe wala sio CHADEMA

    Wakuu Kwema. Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM. MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi. Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
  4. JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  6. JamiiForums Tanzania Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vya kijamii na kiuchumi kwamba huenda ndio mwisho wa utawala wa CCM

    Kinachoendelea nchini kwa sasa, kisiasa, kuna viashiria vya kijamii na kiuchumi kwamba huenda ndio mwisho wa utawala wa CCM. KIJAMII Kuna matukio kadhaa makubwa ambayo yanamomonyoa misingi imara ya usalama wa kijamii. Matukio hayo, yanayotokana na uongozi wa CCM, ni kama vile wanasiasa wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli alichukiwa ndani ya CCM?

    Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha...
  9. JamiiForums Tanzania Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

    Ni mechi kubwa kwa wapenzi wa soka wa Kanda ya Ziwa. Geita Gold itakuwa inawakaribisha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba pale jijini Mwanza. Geita imehamishia mchezo huu katika dimba hilo badala ya Nyankumbu ili kuongeza kipato. Kitendo hiko kimekemewa sana na...
  10. JamiiForums Tanzania Divide and Rule with Samia

    Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi. Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala. Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 inamlinda Rais Samia kukaa madarakani? Kwanini CCM hawataki Katiba Mpya?

    Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa? Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo...
  13. JamiiForums Tanzania CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death). Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini. Watu wako...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mashirikisho ya Filamu, Sanaa za Maonesho na Ufundi Tanzania Wakutana na Katibu Mwenezi CCM Taifa

    MASHIRIKISHO YA FILAMU, SANAA ZA MAONESHO NA UFUNDI TANZANIA WA KUTANA NA MWENEZI CCM TAIFA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka (Leo) Ijumaa 4 Machi, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Marais wa Mashirikisho matatu ya Filamu, Sanaa na Ufundi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Rais Samia hatazuiwa kuingia mawindoni kutafuta maendeleo ya Watanzania

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua Taifa zaidi Kiuchumi, Uwekezaji na Biashara.
  16. JamiiForums Tanzania Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?

    Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50 Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano...
  17. JamiiForums Tanzania CCM inawakosea sana Watanzania

    Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa mbalimbali serikalini. Kimsingi lengo au dhumuni lolote la kuanzishwa chama chochote cha siasa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ramadhani Madabida na wenzake waachiliwa huru, walituhumiwa kusambaza ARV feki

    Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
  20. JamiiForums Tanzania CCM ina vyuo vya uongozi lakini viongozi wanatoka upinzani

    Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K Siku hizi utaratibu huo haupo licha ya vyuo kuendelea kutoa wahitimu lakini hawapewi nyadhifa badala yake wanapewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…