Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa...
Sintofahamu imeibuka kwa baadhi ya wanachama wa CCM wa Wilaya ya Babati Mjini Mkoani Manyara, wakilalamikia utaratibu wa ugawaji wa kadi za chama hicho kwa manufaa ya watu wanaotaka madaraka kwenye uchaguzi mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Wanachama hao ambao waligoma kutaja majina...
Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika
Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge.
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania
Deogratias Mutungi
Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo...
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada...
Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii.
Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
Iko hivi:
Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma.
Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa,
Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "...
Kwanza kabisa niipongeze Chama cha Mapinduzi kufanya sherehe yake ya miaka 45 Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma.
Najua kuwa rasilmali nyingi zimetumika lakini ni matumizi ya siku moja tu LAKINI kwa ushauri wangu rasilmali zilizotumika leo zingeelekezwa katika miradi ya maendeleo kama...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka uwanja wa Karume - Musoma mkoani Mara katika maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Kaulimbiu ya maadhimisho haya ni "CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu."
Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mwenyekiti wa Chama Cha...
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano kuliko vitisho, kebehi, ubabe au kushurutishwa.
Amesisitiza CCM kipo tayari wakati wote kupokea...
KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA
Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndug: Kenani Labani Kihongosi ameambatana na Mwenyekiti wa Chipukizi UVCCM Taifa...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.