Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wakati tarehe 05/02/2022 CCM itasherehekea miaka 45 tangu kuasisiwa pia kitawashukuru wanachama wa Chadema waliouona mwanga na kuamua kujiunga na chama tawala.
Takwimu zinaonyesha kuwa wanachama na viongozi wa Chadema ndio wanaongoza kwa kuunga mkono juhudi za CCM katika kuwaletea wananchi...
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la...
NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022
"Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na Zanzibar baadae vikaungana TANU na ASP Februari 5 Mwaka 1977 laiti hatua hizo zisingefanyika kwa...
Everybody saw that CCM was in jeopardy during that dark era of Magufuli.
Thanks to coercive apparatus to make it shine irrespective of the brutality to oppositions.
When I hear that JPM raised CCM up, I wonder. It is widely known that every person was forced to like or love CCM even though...
Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako...
Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM.
Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...
Wajuzi wa mambo wanaeema kwamba, kumuweka Mh. Freeman Mbowe ndani kwa kesi ya ughaidi, imemuongezea Nguvu kubwa mno kisiasa.
Mbowe amepata nguvu kubwa mno na huruma kubwa mno kutoka kwa wananchi ambao wengi wao wanaamini kesi dhidi yake, ni kesi ya mchongo ambayo imeshabuma.
Atakapotoka Jela...
Tunaweza kushangazwa na uhusika wa CCM kila janga linapotokea, pengine inaweza kufikiriwa kwamba kwa sababu ndio ina serikali hivyo haina budi kuonesha uhusika wake au wengine wanaweza kusema ni CCM imetengeneza tukio na ili ionekane ina wajali wananchi wake walitatue.
Yote kwa yote, mawazo ya...
Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
ZIARA YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA KASKAZINI PEMBA.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika ukaguzi wa ujenzi wa Ukingo wa bahari kuzuwia eneo la bahari isingie kwenye makazi ya wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara 192 ya...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.
Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.
Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa...
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.
Kwa mshangao kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.