ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

    Huwa najiuliza, hivi mtu kabisa na akili zako timamu unashabikia CCM? Binafsi nina amini wanaoshabikia CCM ni wale wenye maslahi binafsi otherwise uwe taahira. Chama kilichoisababishia nchi ufukara na matatizo lukuki unakishabikia kwa lipi? At least JPM alipoingia tulianza kuona matokeo kiduchu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  3. JamiiForums Tanzania Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

    Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema. Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

    Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025. Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

    Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameongea vizuri; wahafidhina ndani ya CCM wamuache Rais Samia atekeleze maono yake

    Nilipenda maelezo ya ZZK Kiongozi wa ACT katika Kikao cha Kamati Kuu ya chama chake iliyofanyika Zanzibar jana tarehe 08 Agosti, 2021. Alirejea ukweli kuwa Rais Samia alianza vema sana uongozi wake baada ya kifo cha JPM. Hata hivyo kwa siku za karibuni kuna kila dalili ametishwa na kundi la...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utekaji uliofeli: Nadhani Mbowe angepelekwa kusikojulikana

    Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi . Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama wengi sana kupita maelezo

    Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka, Leo hii CCM imefikia kutegemea Tume ya Uchaguzi ambayo ni lazime iwe inatokana na wao kwa maana isiwe Tume huru, wanajua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM inauawa na usajili wa Hayati Dkt. Magufuli uliofedhesha wana CCM

    Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo ndani ya chama kwa maana mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na mwenezi, mawaziri na manaibu,. Waliobaki...
  13. JamiiForums Tanzania CCM wamegeuka kuwa Polisi au Polisi ndio wamekua CCM?

    Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu. Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu! Polisi mwenye akili timamu kabisa anajitokeza hadharani na kumbambikia kesi ya Ugaidi kiongozi wa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM waanza kukumbuka umuhimu wa Wapinzani

    Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi. Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika. "Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukicheka na Nyani utavuna mabua

    Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema. Ukiona kiongozi...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na somo la Ushirika wa Vyama

    Wanasema hata saa mbovu kuna muda katika siku huwa inakuwa sahihi, nadhani upinzani hasa CHADEMA wanapaswa kujifunza kwa CCM somo la kushirikiana na vyama vingine. CCM pamoja na kushika dola, kuwa na rasilimali na uwezo wa kifedha, kuwa na mtandao ulioenea kila kona ya nchi lakini bado wamekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuiangusha CCM baada ya kutuzidi kete kwenye Chaguzi?

    Nauliza hili suali ili kupatikane mbinu mbadala za kuiondoa CCM madarakani bila ya kutumia nguvu, mapinduzi au silaha. Kuna haja ya kutafakari suala hili maana hata maandamano nayo ni mtihani.
  19. JamiiForums Tanzania Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

    Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu. Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, umefanya mapinduzi. CCM wanalilia mic kwenye space waongee

    Vyombo vyote vya habari vipo mikononi mwa CCM, ana mamlaka yakusema na kufanya atakavyo. Baada ya kubana vyombo hivyo visiwe na mdahalo huru Maria Sarungi amenzisha mdahalo kupitia mtandao 'space'. Huu umekuwa zaidi ya mkutano wa adhara kwa sababu watu zaidi ya elfu tano wanakusanyika kusikiliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…