ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

    Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025 au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine, sioni la maana sasaivi...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM watakuja na manifesto gani tutakayoiamini kama manifesto za miaka 60 hazijatekelezwa?

    Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya. Serikali imeweka tozo kila mahali, hawa hawa wasio na kipato maalum bado wanakamuliwa ili...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Amani iwe kwenu, Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi. Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

    Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao? Kwani nini wafurahia na kukenua meno? Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani kwao? Nyuma ya pazia kuna faida kubwa kwao. Maana kwa miaka sita CCM A haukuwapa nafasi ya kufanya...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ilitukuka ndani ya CCM

    Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa. Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania CCM ya Awamu ya Tano ilisamehe wengi akiwemo Kinana

    CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye chama kipindi hicho. Miongoni mwa misururu ya wanufaika wa misamaha hiyo ni pamoja na makamu...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hongera Kinana, CCM tunayoifahamu imerudi!

    Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM. CCM ya hoja, CCM ya mshikamano CCM ya umoja CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu. CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana. CCM ya...
  9. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Asante CCM kujisahihisha

    Chama tawala CCM chini ya mwenyekiti wake na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu mpendwa Samiah Suluhu Hassan kinazidi kujisahihisha hasa kwa makosa yaliyotokea miaka kadhaa iliyopita.Ninakipongeza sana kwa hatua hizi za makusudi kinazochukua.CCM ya leo inanikumbusha CCM ya miaka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vipengele vya Katiba ya CCM vilivyofanyiwa marekebisho

    Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ya CCM Dodoma hayatuhusu yetu ni Katiba Mpya

    Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao? Au ya huyu na wahuni wake? Muhimu tutambue: 1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo. 2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee. 3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
  14. voicer

    JamiiForums Tanzania CCM Hamuaminiani? Wajumbe kura kupigwa mkoa kwa mkoa

    Ni katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma. Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe. Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya wajumbe kamili. Ina maana kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama. Wale wenyeviti ambao mikoa yao...
  15. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya Wananchi waliowengi ni CHADEMA; CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na haki

    CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CCM ina ‘Succession Plan?’ Vijana wameiangusha. Je, wazee watakuja na mapya?

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeamua kuendelea kuwatumia wastaafu baada ya vijana kiliowaamini kina Ally Hapi, Sabaya, Makonda, Polepole, Bashiru kuwaangusha kiutendaji, na wengine baadhi kukosa radhi na kuanza kuwabeza Wazee kwa matusi kina Musiba, Musukuma, “Nafurahi Wastaafu Kutukanwa”.- Lusinde...
  18. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilianguka kiuongozi 2013 haitasimama Tena; Dola pekee ndiyo itasimamia waendelee kuwepo madarakani

    Chama Cha mapinduzi kilipasuka miakaa tisa iliyopita; ufisadi, undugu na umimi ndio uliopelekea kikose dira kwenye jamii. Leo kinachofanyika siyo kukijenga chama wala kuijenga Nchi bali chama kimejikita kujitoa magamba Kisha yanaota mapya. Leo mataifa mengi yanapambana kusimamia uchumi lakini...
  19. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huenda ikaichukua karne nzima kufikia ushawishi huu wa CCM

    Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu, Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi CCM inavyopindua meza yake yenyewe, Bado tu Wana-CCM hamuoni umuhimu wa Katiba Mpya?

    Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko! Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea kutikisika! Hata hivyo huu wa kwetu ni wa kipekee! Kuna msemo unaitwa kupindua meza ! Labda pengine...
Back
Top Bottom