ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa, Ukiangalia namna...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Wanabodi, Declaration of interest, mimi pia ni mwanachama wa chama cha siasa!. zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani...
  3. JamiiForums Tanzania CCM msifiche aibu yetu kama taifa

    Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa kinyama na vyombo vya dola ambavyo vimeshikamana na mirija inayoitafuna nchi yetu. Hali ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 One Year of Tanzanian President Hassan: What’s Changed

    March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021. Her...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapongeza jitihada za Rais Samia kuiwezesha DIT

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  9. JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
  10. JamiiForums Tanzania Siku vyombo ya ulinzi vikikaa pembeni, CCM mtajamba cheche

    Jeuri ya CCM ni kutumia mabavu. Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumiwa vibaya Sana. CCM ni wepesi kama makopo ya plastic. Dola ndiyo inawabeba, siyo sera.
  11. JamiiForums Tanzania Mpina akirejea bungeni kwa tiketi ya CCM 2025, niiteni nimekaa pale

    Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025. Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo. Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Nchi zinazojielewa Tozo zinaweza kuiondoa CCM madarakani 2025

    Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji. Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election. Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

    Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa! Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!! Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

    By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai. Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
  17. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  18. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM, kula nyama choma sio kutatua kero za wananchi!

    Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu! 👇
  20. JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…